Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,665
- 239,157
Taarifa za Kamanda Sirro ni kwamba Kambaya alikamatwa kwa kuhusishwa na vurugu zilizotokea VINA HOTEL , wakati viongozi wa CUF wakiongea na wanahabari.
Sasa kibinadamu ni vema kumfariji yeyote anayekumbwa na matatizo.
Ikumbukwe kwamba kwa sisi wanasiasa na hasa kwenye nchi ya ukandamizaji kama Tanzania , leo Kambaya kesho Erythrocyte .
Yuko selo gani huyu jamaa nikampe pole?