wewe mgeni vipi? umetokea u-turn nini? maana kule ndo kuna magwiji wa matusi, yaani wamesomea kabisa. kuwa mstaarabu bana .... huoni hii forum imekaa kistaarabu ishiii!