Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Hepatitis b (Homa ya Ini) ni maambukizi ya virusi kwenye Ini(Liver) .
Ini likiambukizwa hatuna matibabu kamili na yakueleweka Tanzania. Hepatitis (Homa ya Ini) imekuwa tishio kwa miaka hii na hasa kwa vijana.
JINSI HOMA YA INI INAVYOENEA
1.Ngono isiyo salama
2.Kuchangia nguo(Jasho na maji maji)
3.Romance(maji maji)
4.Kuchangia vifaa vyenye ncha kali
DALILI ZAKE NI ZIPI?
Dalili zake hutokea wakati wa hatua za mwisho za kuharibika kwa Ini. kwa hiyo hakuna dalili za awali za ugonjwa huu.
1.Macho na mwili kuwa vya njano
2.Tumbo kuvimba
3.Kutapika damu
4.Kukosa hamu ya kula kabisa
5.Tumbo kuvimba(Abdominal distention)
6.Tumbo kuuma linapokugwa hasa sehemu ya ini(Epigastric pain on palpation)
MATIBU YAKE YAKOJE?
Bado ni changamoto na hasa kwa Tanzania kwani ni wachache sana wanaopenda kupima afya na kujua hali zao za Ini na hivyo kuchukua hatua .Kwa kuwa dalili hujitokeza dakika za mwisho za kufa kabisa kwa Ini kwa hiyo tiba kamili ni kubadilisha Ini kitu ambacho mazingira yetu ni changamoto sana.
Note: Ini liko moja tu tofauti na figo ambazo ziko mbili kwahiyo hata kubadilisha ina mhitaji mtoaji afe ili mgonjwa aishi.
CHANJO YA HOMA YA INI
Siyo wote wanaweza kupata ugonjwa huu,ukipata chanjo uko salama kwa asilimia 100%
NANI YUKO HATARI KUPATA UGONJWA HUU?
1. Wanaofanya ngono uzembe pasipokuwa na chanjo.
2. Wafanyakazi wa Idara ya afya hasa wauguzi na madaktari wanaogusa wagonjwa mara kwa mara pasipo kuwa na chanjo!
3. Watoto wanaozaliwa na mama mwenye vimelea vya virusi vya homa ya Ini.
MABARAZA YA DUNIA YANASEMAJE KUHUSU UGONJWA HUU TISHIO.
1. Kila mjamzito anaye anza kliniki kwa mara ya kwanza lazima apime ugonjwa huu ili kumlinda mtoto anayezaliwa.Kwa Bahati mbaya wanao pimwa ni wale wenye uwezo na wenye bima za afya ambao hujifungulia kwenye hospitali kubwa na zenye vifaa; Aga khani, Mihimbili, TMJ, KAIRUKI, Hindu mandal, Mbeya rufaa, Bugando, Selian,n.k
Note: Kiwango cha vifo vya vijana wa kiume kwa ugonjwa huu ni kubwa sana ukilinganisha na wanawake.
UFANANO NA UTOFAUTI WA HOMA YA INI NA UKIMWI.
A. UFANANO
Hepatitis ina fanana na ugonjwa wa ukimwi kwa muktadha huu,
1. Jinsi Ukimwi unavyo enea ni sawa na Hepatitis.
2. Hakuna tiba rasmi kwa magonjwa haya yote mawili.
B) UTOFAUTI
1. Homa ya Ini inachanjo, Ukimwi hauna.
2. Ukimwi una dawa za kurefusha maisha,Hepatitis haina unapewa dawa za kupunguza maumivu ukisubiri kuondoka!
3. Virusi vya Homa ya Ini hukaa kwenye maji maji ,Mate(Denda) ,Jasho na damu. Wakati virusi vya Ukimwi hukaa kwenye damu tu.
4. Virusi vya homa ya Ini hukaa nje ya mwili(Kwenye nguo,wembe n.k) kwa siku saba,wakati virusi vya ukimwi hukaa dakika 30 tu.
5. Ugonjwa wa Ini ukiona dalili zake baada ya miezi sita mgonjwa hufariki, Wakati ukimwi ukiona dalili na ukawahi hospitali una ishi miaka zaidi na zaidi.
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU UGONJWA HUU
Mim ni kijana wa makamo tu ila miezi kadhaa nilikuwa nataka kumuongezea damu rafiki yangu kwa kuwa nina group O ndipo madaktar walipopima damu yangu ikagundulika ina vïrusi kwenye ini aina ya Hepatitis B.
Madaktari wakasema nianze kutumia dawa iitwayo Truvador ndani ya miezi sita nitapona lakini nimetumia mpaka kukamilisha dozi hiyo nikakaa miezi mitatu bila kwenda kupima tena nikiwa nafikiri nimepona kwa sababu sikuwa na hii elimu ya ugonjwa huu.
Nilipoenda kupima baada ya kuwa nasikia uchovu nilikuta bado homa ipo halafu daktari mmoja akaniambia kwa siri kuwa huo ugonjwa hauna dawa ya moja kwa moja ya hospitalini.
Hïvyo ndugu zangu naomba msaada mwenye kujua dawa hakika za kuponyesha anisaidie.
---
MAONI YA WADAU WA JF KUHUSU GONJWA HILI

===Salaam natanguliza!!
jamani nimegundulika kuwa nina homa ya manjano pale Regency, Dr wng aliniambia hakuna dawa ya kunipa.
Mbaya zaidi nina mimba ya wk 19 sasa!!
Napata hofu tangu jana nilipopokea haya majibu!! sijui nifanyenini, japo nimeshauriwa kula miwa na maji ya madafu kwa wingi.
Najua madaktari wa JF mtanisaidia kama mlivyofanya mwanzo.
MziziMkavu uko wapi??
MAONI YA WADAU WA JF KUHUSU GONJWA HILI
---Ujue ugonjwa wa homa ya ini
Utangulizi kwa kifupi
Hepatitis b (Homa ya Ini) ni maambukizi ya virusi kwenye Ini(Liver) .
Ini likiambukizwa hatuna matibabu kamili na yakueleweka Tanzania. Hepatitis (Homa ya Ini) imekuwa tishio kwa miaka hii na hasa kwa vijana.
JINSI HOMA YA INI INAVYOENEA
1.Ngono isiyo salama
2.Kuchangia nguo(Jasho na maji maji)
3.Romance(maji maji)
4.Kuchangia vifaa vyenye ncha kali
DALILI ZAKE NI ZIPI?
Dalili zake hutokea wakati wa hatua za mwisho za kuharibika kwa Ini. kwa hiyo hakuna dalili za awali za ugonjwa huu.
1.Macho na mwili kuwa vya njano
2.Tumbo kuvimba
3.Kutapika damu
4.Kukosa hamu ya kula kabisa
5.Tumbo kuvimba(Abdominal distention)
6.Tumbo kuuma linapokugwa hasa sehemu ya ini(Epigastric pain on palpation)
MATIBU YAKE YAKOJE?
Bado ni changamoto na hasa kwa Tanzania kwani ni wachache sana wanaopenda kupima afya na kujua hali zao za Ini na hivyo kuchukua hatua .Kwa kuwa dalili hujitokeza dakika za mwisho za kufa kabisa kwa Ini kwa hiyo tiba kamili ni kubadilisha Ini kitu ambacho mazingira yetu ni changamoto sana.
Note: Ini liko moja tu tofauti na figo ambazo ziko mbili kwahiyo hata kubadilisha ina mhitaji mtoaji afe ili mgonjwa aishi.
CHANJO YA HOMA YA INI
Siyo wote wanaweza kupata ugonjwa huu,ukipata chanjo uko salama kwa asilimia 100%
NANI YUKO HATARI KUPATA UGONJWA HUU?
1. Wanaofanya ngono uzembe pasipokuwa na chanjo.
2. Wafanyakazi wa Idara ya afya hasa wauguzi na madaktari wanaogusa wagonjwa mara kwa mara pasipo kuwa na chanjo!
3. Watoto wanaozaliwa na mama mwenye vimelea vya virusi vya homa ya Ini.
MABARAZA YA DUNIA YANASEMAJE KUHUSU UGONJWA HUU TISHIO.
1. Kila mjamzito anaye anza kliniki kwa mara ya kwanza lazima apime ugonjwa huu ili kumlinda mtoto anayezaliwa.Kwa Bahati mbaya wanao pimwa ni wale wenye uwezo na wenye bima za afya ambao hujifungulia kwenye hospitali kubwa na zenye vifaa; Aga khani, Mihimbili, TMJ, KAIRUKI, Hindu mandal, Mbeya rufaa, Bugando, Selian,n.k
Note: Kiwango cha vifo vya vijana wa kiume kwa ugonjwa huu ni kubwa sana ukilinganisha na wanawake.
UFANANO NA UTOFAUTI WA HOMA YA INI NA UKIMWI.
A. UFANANO
Hepatitis ina fanana na ugonjwa wa ukimwi kwa muktadha huu,
1. Jinsi Ukimwi unavyo enea ni sawa na Hepatitis.
2. Hakuna tiba rasmi kwa magonjwa haya yote mawili.
B) UTOFAUTI
1. Homa ya Ini inachanjo, Ukimwi hauna.
2. Ukimwi una dawa za kurefusha maisha,Hepatitis haina unapewa dawa za kupunguza maumivu ukisubiri kuondoka!
3. Virusi vya Homa ya Ini hukaa kwenye maji maji ,Mate(Denda) ,Jasho na damu. Wakati virusi vya Ukimwi hukaa kwenye damu tu.
4. Virusi vya homa ya Ini hukaa nje ya mwili(Kwenye nguo,wembe n.k) kwa siku saba,wakati virusi vya ukimwi hukaa dakika 30 tu.
5. Ugonjwa wa Ini ukiona dalili zake baada ya miezi sita mgonjwa hufariki, Wakati ukimwi ukiona dalili na ukawahi hospitali una ishi miaka zaidi na zaidi.
Dr.Dyumurushi,(B.E,MD,MPH).
Pole kw akupatwa na Homa ya manjano aka (YEllow Fever) Chukua punje 1 ya kitunguu Saumu kibichi tia ndani ya chai au maji ya Uvuguvugu kunywa kila siku asubuhi na kila baada ya masaa 4 uwe unakula hicho kitunguu Saumu punje 1 tumia kwa siku 14 utapona hiyo Maradhi yako ya Homa ya manjano. Dawa ingine Tumia Chukuwa Ubani Miti aka mfano kama (Gundi) nunuwa gramu 50 tia dawa ndani ya maji lita 2 kwenye sufuria ya kupikia funika vizuri chemsha kwa dakika 20 kisha chuja hayo maji yaweke kwenye chupa utakuwa unachukuwa hayo maji glasi 1 unatia ndani yake Asali vijiko 2 vikubwa koroga vizuri unywe asubuhi kabla ya kula kitu na usiku kila siku utapona.Tumia siku 21 Huo Ubani Miti aka (Gundi)
unapatatikana katika maduka ya dawa za Kisuna kama upo mjini kariakoo kaulize utapata.Ikiisha dawa tengeneza dawa ingine tena.
View attachment 484627
View attachment 484628
Ubani miti aka (Gundi) Kiingereza inaitwa gum Arabic