hapana kwani nina swaga kam za kina muraaa
Nimeona umeandika " inawesekana" . Hahahaha
hahaha hata sijaona hilo
kama umeandika utumbo unategemea nini
mmmh sasa tutafikishaje post 23 elfu, my dia?
Aisee! nimegundua sasa, kumbe post za wanawake humu ndani ndizo zinapata coment na reply nyingi aisee nimefanya uchunguzi kumbe midume ya humu hukimbilia post za wanawake zaid, alafu ukiangalia tofauti za reply kwenye post za wanawake na wanaume huwezi amini aiseeeeeeeee!!!! by Mgunduzi no @3 from Jamii Forum group of Researchers
Au ndio mambo ya excel hayo
Ila huyu atakuwa na undugu na Sayansi kimu
utafiti hebu njoo umuone ndugu yake na SAYANSIKIMU....
uuu huyu ni SAYANSIKIMU uuuu
HAHHAHHAH HAHHAH hata mimi nilikuwa na mpango wa kulisema ili swala kama afadhali ulivyo amua kulisema maana hakika INABOA SANA UNAANZISHA UZI WA MAANA HALAFU UNakosa wachangiaji na unanyimwa like.Ndio maana siku hizi zianzishi uzi humu niko zangu facebook humu huwa napitapita tu.
Matatizo ya bangi ni mbaya
Ukiona Uzi wako watu hawakoment jua hauna swaga
Jipange upya OK