Nimegundua, viongozi wa Serikali yetu hawana huruma hata kidogo kwa Wananchi

1. WABUNGE waliotakiwa kuwa watetezi wa Wananchi, wao wanakuwa watetezi wa mhimili wa Serikali.

2. Rais ambaye ni Kiongozi wa Serikali ambaye alitakiwa kutowabagua watumishi wake wa Serikali pamoja na Wananchi wote, yeye anaruhusu:-

I. Wabunge kujiongezea posho na mishahara mikubwa huku watumishi wengine kama vile Walimu, madaktari nk. kubaki kama walivyo.

II. Wateule wake kupata facilities nyingi kama vile Magari ya gharama kubwa, makazi, vyakula (Ma DC na Ma RC nk.) huku watumishi wengine kama vile Walimu, madaktari nk. wakijitegemea kwa kila kitu kuanzia makazi, vyakula, usafiri, matibabu nk.

Hii haikubaliki hata kidogo. Wakati huu ni lazima makundi yote yapewe haki sawa.
Haiwezekani Genge la watu wachache linapewa kipaumbele kuliko kundi jingine. Ni muhimu sana viongozi wetu wasijifanye wafalme huku jamii kubwa ya Watanzania wakiishi maisha magumu kuwahi kutokea.
Dah, umechelewa sana sisi tuliowagundua mapema ndio maana hatutaki hata kusikia swaga zao maana tunajua wanatupanga tu, pumbav.
 
1. WABUNGE waliotakiwa kuwa watetezi wa Wananchi, wao wanakuwa watetezi wa mhimili wa Serikali.

2. Rais ambaye ni Kiongozi wa Serikali ambaye alitakiwa kutowabagua watumishi wake wa Serikali pamoja na Wananchi wote, yeye anaruhusu:-

I. Wabunge kujiongezea posho na mishahara mikubwa huku watumishi wengine kama vile Walimu, madaktari nk. kubaki kama walivyo.

II. Wateule wake kupata facilities nyingi kama vile Magari ya gharama kubwa, makazi, vyakula (Ma DC na Ma RC nk.) huku watumishi wengine kama vile Walimu, madaktari nk. wakijitegemea kwa kila kitu kuanzia makazi, vyakula, usafiri, matibabu nk.

Hii haikubaliki hata kidogo. Wakati huu ni lazima makundi yote yapewe haki sawa.
Haiwezekani Genge la watu wachache linapewa kipaumbele kuliko kundi jingine. Ni muhimu sana viongozi wetu wasijifanye wafalme huku jamii kubwa ya Watanzania wakiishi maisha magumu kuwahi kutokea.
ILI haya mambo ya kimnduku yaishe tunahitaji katiba MPYA na TUME huru ya Uchaguzi sasa ili kupata Hv vitu tuna kete mbili nazo ni: 1.maandamano nchi nzima none stop 2. Mapinduzi ya kijeshi .
CCM wako tayari kuendesha nchi
kipumbavu pumbuvu tu kama hatutawachukulia hatua stahiki aidha za maandamano au za kijeshi ili kuwafyekelea mbali.
 
1. WABUNGE waliotakiwa kuwa watetezi wa Wananchi, wao wanakuwa watetezi wa mhimili wa Serikali.

2. Rais ambaye ni Kiongozi wa Serikali ambaye alitakiwa kutowabagua watumishi wake wa Serikali pamoja na Wananchi wote, yeye anaruhusu:-

I. Wabunge kujiongezea posho na mishahara mikubwa huku watumishi wengine kama vile Walimu, madaktari nk. kubaki kama walivyo.

II. Wateule wake kupata facilities nyingi kama vile Magari ya gharama kubwa, makazi, vyakula (Ma DC na Ma RC nk.) huku watumishi wengine kama vile Walimu, madaktari nk. wakijitegemea kwa kila kitu kuanzia makazi, vyakula, usafiri, matibabu nk.

Hii haikubaliki hata kidogo. Wakati huu ni lazima makundi yote yapewe haki sawa.
Haiwezekani Genge la watu wachache linapewa kipaumbele kuliko kundi jingine. Ni muhimu sana viongozi wetu wasijifanye wafalme huku jamii kubwa ya Watanzania wakiishi maisha magumu kuwahi kutokea.
Kwa hiyo unataka karani au mhudumu masilahi yake yalingane na ya waziri. Mbf
 
Hata hayo mafuta wanayopandisha kwa deal Kati ya EWURA na wafanyabiashara ya mafuta bado wenyewe cost hz haziwagusi na wala hawaisi maumivu yoyote yale kwamba eti gharama za mafuta zimepanda hicho kitu SAMIA na kundi lake hawajui chochote.Saa hizi SAMIA ana ziara za mikoa ya kusini Sijui anawaambia nn wananchi wanaoteseka kwa gharama kubwa za maisha zinazotokana na kupanda kwa mafuta,yaani Rais hauna habari na maisha ya watu alafu kwa uzwazwa wako unaenda kuwatembelea ili ufanye nn?noncense
 
Hawana huruma kabisaaa na wanajali maisha yao.

Mimi nimelionaga hili muda sanaaaa.Watakuja na maneno mengiii like wanawajali kumbe ni uongo tu
Ni kama madalali wa viwanja, nyumba, mazao, magari na wapiga debe!
Matatizo yako ni fursa kwao!
 
1. WABUNGE waliotakiwa kuwa watetezi wa Wananchi, wao wanakuwa watetezi wa mhimili wa Serikali.

2. Rais ambaye ni Kiongozi wa Serikali ambaye alitakiwa kutowabagua watumishi wake wa Serikali pamoja na Wananchi wote, yeye anaruhusu:-

I. Wabunge kujiongezea posho na mishahara mikubwa huku watumishi wengine kama vile Walimu, madaktari nk. kubaki kama walivyo.

II. Wateule wake kupata facilities nyingi kama vile Magari ya gharama kubwa, makazi, vyakula (Ma DC na Ma RC nk.) huku watumishi wengine kama vile Walimu, madaktari nk. wakijitegemea kwa kila kitu kuanzia makazi, vyakula, usafiri, matibabu nk.

Hii haikubaliki hata kidogo. Wakati huu ni lazima makundi yote yapewe haki sawa.
Haiwezekani Genge la watu wachache linapewa kipaumbele kuliko kundi jingine. Ni muhimu sana viongozi wetu wasijifanye wafalme huku jamii kubwa ya Watanzania wakiishi maisha magumu kuwahi kutokea.
Mkuu, kanuni kuu kuhusu mtu mlafi ni kuwa huwa hatosheki. Kinachojalisha mbele ya macho yake ni kula tu, na akili yake yote ipo katika tumbo lake na makalio yake.

Ikitokea fursa ya kula yeye hula pasipo kusaza wala kuwafikiria wengine wenye shida zaidi yake. Hizi ndizo adha za utumwa na utwana katika utawala wa mkoloni mweusi.
 
1. WABUNGE waliotakiwa kuwa watetezi wa Wananchi, wao wanakuwa watetezi wa mhimili wa Serikali.

2. Rais ambaye ni Kiongozi wa Serikali ambaye alitakiwa kutowabagua watumishi wake wa Serikali pamoja na Wananchi wote, yeye anaruhusu:-

I. Wabunge kujiongezea posho na mishahara mikubwa huku watumishi wengine kama vile Walimu, madaktari nk. kubaki kama walivyo.

II. Wateule wake kupata facilities nyingi kama vile Magari ya gharama kubwa, makazi, vyakula (Ma DC na Ma RC nk.) huku watumishi wengine kama vile Walimu, madaktari nk. wakijitegemea kwa kila kitu kuanzia makazi, vyakula, usafiri, matibabu nk.

Hii haikubaliki hata kidogo. Wakati huu ni lazima makundi yote yapewe haki sawa.
Haiwezekani Genge la watu wachache linapewa kipaumbele kuliko kundi jingine. Ni muhimu sana viongozi wetu wasijifanye wafalme huku jamii kubwa ya Watanzania wakiishi maisha magumu kuwahi kutokea.
Umeandika ujinga.
 
Back
Top Bottom