bhabha bhuhemba
Member
- Dec 6, 2017
- 14
- 6
Lakini anawatoto wa wili, na nimekaa nae miezi minne lakini sikuwahi kujua kama ana watoto, nimekuja kujua kama anawatoto baada ya mtoto wake kuugua na kuhitaji msaada wangu kwaajili ya matibabu, upendo umedencrease from higher to lower point, naomba kuwasilisha ushauli wenu ni muhimu wadau. Akili ndefuuuu
Preta nimekumissje mamadah.....huu msala.....
sasa alificha watoto wa nini.......?......
Wanawake wengi wanaficha hilo la kuwa na watoto na vigumu sana kujua.Hiyo ndo inaitwa kuingia kwenye MAHUSIANO bila kuwa na taarifa za msingi na muhimu za mwenzako, kwa sasa endelea KUSAIDIA maana watoto hawana makosa ndg
Duh makubwa inamaana pindi unatongoza ulikuwa Ujui historia yake pole mkuu vumilia tu amna namna sasa saidia tu
mwaka wa nne wa ndoa yako ndio uje uyaseme hayoLakini anawatoto wa wili, na nimekaa nae miezi minne lakini sikuwahi kujua kama ana watoto, nimekuja kujua kama anawatoto baada ya mtoto wake kuugua na kuhitaji msaada wangu kwaajili ya matibabu, upendo umedencrease from higher to lower point, naomba kuwasilisha ushauli wenu ni muhimu wadau. Akili ndefuuuuhttp://
We mwanamke upo? arusha imekuficha sana mpaka kupotea hivi humu, haya banah missing youdah.....huu msala.....
sasa alificha watoto wa nini.......?......
Kweli Kabisa.Kama ni mimi hapo hakuna kuyamaliza wala nini nampiga chini,
Yeah nampiga chini watoto ninkitu kikubwa sana ilitakiwa niwe na taarifa toka mwanzo,
She is a killer huyo anaweza kukuua kama aliweza kuficha jambo kubwa na muhimu kama hilo kwa mustakabal wa ndoa yenu,
Alifikiria haitafahamika mwanamke huyo piga chini
We mwanamke upo? arusha imekuficha sana mpaka kupotea hivi humu, haya banah missing you
I see youPole sana Mkuu sababu kwa usawa huu halafu itokee ghafla familia inaongezeka naona ni bonge la mtihani aiseee. Hapo hakuna jinsi kaa naye mjue namna ya kutunza hao watoto na sio kuchukua maamuzi ya kuachana sababu ndio wanavyofanya wanaume walio wengi pindi vinapotokea vitu kama hivyo.
Ila huyo mwanamke naye kiazi.