Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
kwani ye anajua ID yako??
Km anajua ID yako basi we badilisha fastaaa, na pia usijaribu kujua ID yake maana huko kwenye PM yake hujui utakutana na nn
Hata mimi namjua humu.
Haijui na sijui kama anafahamu niko humu.
Mh mbona unanipa wasi2 isijekua ni wewe:what::what::what:
sasa wasiwasi wako nini hapo mkuu?..... we jivinjari tu kwa raha zako bana.....ila ukifika home usiongelee mambo ya JF
Hahahaha, unalo aisee, siku hizi utakuwa unachangia kama upo na baba mkwe wako, nicheke mie
Wasi2 wangu ni pale nitakapotoa post yenye kaukweli ka nyumbani nikiomba ushauri si hapo ndio anaweza kushtuka!!
Haijui na sijui kama anafahamu niko humu.
sasa unafkir yeye ni kilaza kiasi gani kwa hili bandiko lako asikujue wewe ni nani?