Umoja ni nguvu.
Utengano ni udhaifu.
ACT wangeleta mchango pia.
Ila ndani ya Ukawa, CUF wamefaidika kupita maelezo.
Zaidi ya kule kwake Kigoma mjini, nimegundua kuwa ACT isingeleta mchango wowote kwa UKAWA hata kama wangekubali kuungana. Kura zao ni kiduchu mno majimboni hata kwa urais
nccr cha wapi?!Ni kweli mmkuu ACT ni chama cha Kigoma na next time hutakiona tena
Ni kweli Mkuu, ila kuna Mgombea wao kushindwa Segerea kwa sababu za watu kujichanganya baada ya Tume kurudisha majina mawili kutoka UKAWA. nathani hii ilifnywa makusudi. Ni vizuri kama watakuwa na nafasi wampe Viti Maalum.Umoja ni nguvu.
Utengano ni udhaifu.
ACT wangeleta mchango pia.
Ila ndani ya Ukawa, CUF wamefaidika kupita maelezo.
Migogoro itakuwa imewaghrimu, ukishikwa - shikamana.nccr cha wapi?!
Nakubaliana na wewe kabisaa CUF wamefaidika kupita maelezo performance yao kila mtu inamshangaza
Nakubaliana na wewe kabisaa CUF wamefaidika kupita maelezo performance yao kila mtu inamshangaza
Ila Bavaria mi naumia roho sana Mtatiro kukosa yaani ukawa hapo tuliharibu sijui kwanini hichi kitu kilitokea.Umoja ni nguvu.
Utengano ni udhaifu.
ACT wangeleta mchango pia.
Ila ndani ya Ukawa, CUF wamefaidika kupita maelezo.
Mkuu uko sawa, madhara ni makubwa kwani wao walikuwa wanaishambulia Chadema sana na wengi walio amini maneno ya ACT waliona wakimbilie CCM kwani maneno mengi ya chama hicho yalikuwa kama yanaelezea ubora wa CCM na sio ubora wao.Hmm... Kwa mtazamo wako uko sawa, lakini madhara (japo kwa kiwango kidogo) yanaonekana...
Ni kweli mkuu hata mimi mwana CHADEMA yaani naona CUF sahiv ni ndugu zangu. Yaani we acha tu pamoja na yote lakini huu umoja wa ukawa imetengeneza kitu ambacho faida yeke hatutaiona kwa sasa ila ni jambo la heri sana.Nakubaliana na wewe kabisaa CUF wamefaidika kupita maelezo performance yao kila mtu inamshangaza