Nimegundua ACT-Wazalendo isingeleta msaada wowote UKAWA

Nimegundua ACT-Wazalendo isingeleta msaada wowote UKAWA

Ni kweli mkuu hata mimi mwana CHADEMA yaani naona CUF sahiv ni ndugu zangu. Yaani we acha tu pamoja na yote lakini huu umoja wa ukawa imetengeneza kitu ambacho faida yeke hatutaiona kwa sasa ila ni jambo la heri sana.

Hawa wenzetu they are well off kingine kilichosababisha UKAWA ku loose baadhi ya sehemu ni usaliti wa mmoja mmoja .kwani watu walipashwa kujipima na kuona kama kuna nafasi ya kushinda au hakuna ili amwachie mwenziwe
lkn unakuta sehemu nyingine watu waligoma
issue ya segerea ni makosa ambayo mie nitailaumu tume na wagombea wetu walipoona kura ina picha ya mgombea wa cuf na chadema walipashwa kuwajulisha wasimamizi ili wajue nini cha kufanya kwani kilichotekea watu wakawa wanawapa wana ukawa
ukiangali wards zote wameshinda cuf na chadema
 
Ni kweli Mkuu, ila kuna Mgombea wao kushindwa Segerea kwa sababu za watu kujichanganya baada ya Tume kurudisha majina mawili kutoka UKAWA. nathani hii ilifnywa makusudi. Ni vizuri kama watakuwa na nafasi wampe Viti Maalum.


Nategemea iwe hivyo mkuu.
 
ACT Wazalendo karibuni kanda ya kati mtapata support.
 
Back
Top Bottom