Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.

Nikaona kabisa huu ni UKIMWI, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa paja karibu na korodani ninayo wanaita groin nodes.

Wakuu kupima naogopa Vibaya mno, nakumbuka mwaka 2010 niliwahi kupata mkanda wa jeshi naona hili Tena limekuja. Hii ngoma nimekuwa na stress Sana hata kazini kwenda nahisi uvivu.

Muda wote kichwa na misuli inauma nahisi kuchokaaa.
UKIMWI ni imani...ukiamini huna unapona...ukiamini unao kweli unagonjweka
 
Bila kupepesa maneno.

Anza kuweka Wosia mapema, hiyo ni hukumu ya kifo.
 
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.

Nikaona kabisa huu ni UKIMWI, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa paja karibu na korodani ninayo wanaita groin nodes.

Wakuu kupima naogopa Vibaya mno, nakumbuka mwaka 2010 niliwahi kupata mkanda wa jeshi naona hili Tena limekuja. Hii ngoma nimekuwa na stress Sana hata kazini kwenda nahisi uvivu.

Muda wote kichwa na misuli inauma nahisi kuchokaaa.
Mkuu pole ukiogopa kupima VVU basi subii kifo ndicho kitakacho kufuata achana na ujinga na uwoga nenda kapime dawa za ukimwi zipo na unatibiwa na kupona kabisa maradhi yako uguwa pole.
 
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.

Nikaona kabisa huu ni UKIMWI, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa paja karibu na korodani ninayo wanaita groin nodes.

Wakuu kupima naogopa Vibaya mno, nakumbuka mwaka 2010 niliwahi kupata mkanda wa jeshi naona hili Tena limekuja. Hii ngoma nimekuwa na stress Sana hata kazini kwenda nahisi uvivu.

Muda wote kichwa na misuli inauma nahisi kuchokaaa.
Ulipata mkanda wa jeshi wakat huna ukimwi??
 
Nakumbuka Miaka ya 2008 mpaka miaka ya 2014 hivi ujana ulinizidia sana 😀😀

Sasa kuna kipindi nikaanza kuumwa kutokana na kielimu cha afya nilichokuwa nacho nikaona hichi kimo mzee..

Ila kwa bahati mbaya nilikuwa nahisi Inaweza kuwa HIV au Hepatitis B Nilichokua naomba Mungu kipindi Hicho bora iwe HIV..😀😀..

Nikapiga moyo konde sasa siku moja nimekaa kaa zangu ifisini nikajipima nikakuta HIV haipo..
Nikavuta Pumzi..

Sasa miaka hiyo serikali wakaja na chanjo ya bure ya hepatitis kwa watumishi Kimbembe kikawa kupima 😀😀😀..

Ila nikakaza moyo nikapima na nikalambwa chanjo zote za Hepatitis..

Sasa ninachokushauri kuna Desturi ya Akili kutengeneza Illusion kutokana na majanga ya nyuma na kukutisha ila ukipima unakuta Hola hauna kitu..
Dalili za hepatitis zinafanana na HIV?
 
Kwa Hatua Za Mwanzo Dalili za magonjwa Yote yanayotokana na Vurus Huwa yanakaribia Kulingana, Kama Sio Kufafanana..
Hasa Hizi RNA virus au Partially DNA virus kama Hepatitis na HIV..
Kwa mfano Kupata homa za mara kwa mara, Vipele mwili mzima na Kuwashwa, mafua Na Kikohozi, Mwili Kuuma na Uchovu usio eleweka chanzo, Kuharisha na Zaidi Kuvimba Matezi..

So Kwa Hatua za mwanzo Huwzi jua hasa ni aina gani ya Virus kama Ulikuwa Mchezea Pabaya Unless Umepima
 
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.

Nikaona kabisa huu ni UKIMWI, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa paja karibu na korodani ninayo wanaita groin nodes.

Wakuu kupima naogopa Vibaya mno, nakumbuka mwaka 2010 niliwahi kupata mkanda wa jeshi naona hili Tena limekuja. Hii ngoma nimekuwa na stress Sana hata kazini kwenda nahisi uvivu.

Muda wote kichwa na misuli inauma nahisi kuchokaaa.
Pole sana, ikubali hiyo hali ili maisha mengine yaendelee. Kupata ukimwi sio kifo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom