Nimegongwa na Nge

Wadau, ni Nge siyo Nnge.

Mfano: Nzi( siyo Nnzi)

Mbwa na siyo Mmbwa

Mbu na siyo Mmbu

Kana baadhi ya maneno utamkaje wake na uandishi wake ni tofauti.

FaizaFoxy
 
Mkuu binafsi nakuelewa mno humu kuna wabishi madundu achana nao
 
Wanatofautiana

Mkoa wa Tabora hawa wadudu wanapatikana kwa wingi sasa basi ilikuwa ni kawaida kukumbana nao lakini kuna mmoja aliwahi kugongwa na huyo mdudu akajua ni kawaida tu ......mimba ilitoka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama nilikuwa mbali na huduma za hospital je?
mbona unahukumu bila kujua mazingira yangu?
be fair,pia sio kila kila kitu lazima mtu uchangie...

Huo muda uliokua unasubiria watu kama mimi tukujibu sii ni ushafika hospitali na kupata matibabu...

Hata hivyo hana madhara huyo, ingekua nyoka hata muda wa kushika simu usingekua nao...


Cc: mahondaw
 
Umetumia njia ipi kati ya zote zilizotajwa humu.....
 
Dah...miye alinichoma pajani....nikamtafuta hadi nikampata...nikapiga mkasi mwiba wake...nikamtunza...nikawa napasha moto pini namchoma...mara 3 kwa siku..kwa siku 7....nikamuachia...sijaona ng'e Tena hapa geto..nadhani alifikisha ujumbe


Sent using Beretta ARX 160
 
Pole sana kamanda. Jenga tabia ya kupulizia dawa za kuua wadudu ndani, hasa sehemu zenye nyufa ama zilizojibana
 
Huyu mgonjwa ni bangi sana


"utamu wa uji ni kutingisha bakuli"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…