Nimegongwa na Nge


Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
6,091
Points
2,000
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
6,091 2,000
Pole sana mkuu
 
LUBEDE

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
4,109
Points
2,000
LUBEDE

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
4,109 2,000
Mbona mimi niligongwa lkn sikwenda hospital lkn cha moto nilikiona.

Wengine wanadai unamkamata huyo nge unamchoma halafu majivu yake unapaka pale kwenye jeraha baada ya kuchanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa haya maumivu kiukweli siwezi kupachanja tena,panauma sana..mimi naulizia kama kuna pain killer inaweza kunisaidia,kuchanja hapana,sehemu inayouma hata kuishika siwezi,nge ni hatari wakuu kwa haya maumivu hata yule wa kisarawe akiamua kunitunuku bure kabisa muda huu,siwezi kumfanya chochote,tabaki namtazama tu!
 
sandraeli

sandraeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
1,325
Points
2,000
sandraeli

sandraeli

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
1,325 2,000
pole sana na haka kamdudu kakishatimiza lengo lake kanatembea kwa spidi ya htr😔😔
kile kitendo cha kuchukua dekio tu,huyooo kanidaka kidole..uwii
Nilijikaza kufanya kazi zangu zote ..ila muda ulivyozidi kwnd mkono ukaanza kufa ganzi na mishipa km inavuta vuta..
Bad enough kifua kikawa kama kinajaa,mara kinabana,kumbe ni sumu inazidi kusambaa..Mpk ilipofika saa 5 jion ndio nikaenda duka la dawa,hapo nimeshalia mpk basi
Mtajie dawa gani ilikuponyesha
 
toxic9

toxic9

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
10,316
Points
2,000
toxic9

toxic9

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
10,316 2,000
Kimbilia hospital wakatoe simu hiyo, kwa dharura weka mkaa mahala palipo ng'atwa

Happiness is a lifestyle
 
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
13,736
Points
2,000
Age
26
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2014
13,736 2,000
Kama haupo Brazil au Australia huyo nge hawezi kukuua. Chukua barafu weka ulipong'atwa baada ya muda utakua sawa.
 
LUBEDE

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
4,109
Points
2,000
LUBEDE

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
4,109 2,000
Maumivu ya Nge unaanzisha na thread!
Anyway,chanja kwa wembe sehemu iliyoumwa,ponda vitunguu swaumu pakaa juu ya kidonda pamix na damu,baada ya dk kadhaa maumivu hutoyasikia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ungefanyaje mkuu,na hili jukwaa lipo?nashukuru umenisaidia kunipa njia ya tiba pia,ila mimi sijaona kama nimekosea kuanzisha uzi,kwa sababu naamini mimi siwezi kuwa mtu wa mwisho kugongwa na nge,so kwa uelewa wangu mdogo kwa jinsi nilivyofuatilia mtiririko wa uzoefu wa watu waliowahi kupitia hali ninayoipitia,kuna wengi pia wataupata msaada hapa siku wakikutana na zahama ambayo nimekutana nayo..sio kila unachokijua wewe wote wanakijua mkuu!
 
kapeace

kapeace

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2017
Messages
9,734
Points
2,000
kapeace

kapeace

JF-Expert Member
Joined May 26, 2017
9,734 2,000
Mkuu ng'e sio kila mtu akimjeruhi ana maumivu nae wengine hawasikii hata maumivu kabisa mimi ng'e akinigusa tu kwanza napoteza netiweki kwa masaa baadae maumivu yake siwezi kuelezea.
Inategemeana na ng'e

Anaetaga anasababisha maumivu makali zaidi

Au aina fulani ya ng'e huleta shida akikuachia hiyo sumu yake

Tiba ya haraka ni kuchanja alipogonga .....chukua nyanya iliyoiva pakaza mchuzi wake.....kwisha habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kapeace

kapeace

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2017
Messages
9,734
Points
2,000
kapeace

kapeace

JF-Expert Member
Joined May 26, 2017
9,734 2,000
Nakumbuka niliwahi kuwatembelea ndugu mkoa aisee nikajihisi kama kuna kitu kinatembea kichwani kuweka mkono uwiiiii mdudu kanigonga siku hiyo nililia mno nimewekwa dawa bado, siku ya pili nimevaa nguo tena kwenye paja niliapa sitoludi tena toka siku hiyo sikuwahi kuludi.
Hahahaha yani nyie ni waoga kweli,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kapeace

kapeace

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2017
Messages
9,734
Points
2,000
kapeace

kapeace

JF-Expert Member
Joined May 26, 2017
9,734 2,000
pole sana na haka kamdudu kakishatimiza lengo lake kanatembea kwa spidi ya htr
kile kitendo cha kuchukua dekio tu,huyooo kanidaka kidole..uwii
Nilijikaza kufanya kazi zangu zote ..ila muda ulivyozidi kwnd mkono ukaanza kufa ganzi na mishipa km inavuta vuta..
Bad enough kifua kikawa kama kinajaa,mara kinabana,kumbe ni sumu inazidi kusambaa..Mpk ilipofika saa 5 jion ndio nikaenda duka la dawa,hapo nimeshalia mpk basi
Hahahaha ng'e tu huyo .....poleni si kwa kuwaogopa huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kapeace

kapeace

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2017
Messages
9,734
Points
2,000
kapeace

kapeace

JF-Expert Member
Joined May 26, 2017
9,734 2,000
Kwa haya maumivu kiukweli siwezi kupachanja tena,panauma sana..mimi naulizia kama kuna pain killer inaweza kunisaidia,kuchanja hapana,sehemu inayouma hata kuishika siwezi,nge ni hatari wakuu kwa haya maumivu hata yule wa kisarawe akiamua kunitunuku bure kabisa muda huu,siwezi kumfanya chochote,tabaki namtazama tu!
Usipochanja utaumia zaidi we pachane kiasi tu damu itoke then pakaa dawa ulizoambiwa....ama nyanya iliyoiva

We ni ke au me?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
1,006
Points
2,000
Age
22
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2018
1,006 2,000

Forum statistics

Threads 1,284,055
Members 493,939
Posts 30,811,172
Top