Nimegongwa na Nge

Wadau, ni Nge siyo Nnge.

Mfano: Nzi( siyo Nnzi)

Mbwa na siyo Mmbwa

Mbu na siyo Mmbu

Kana baadhi ya maneno utamkaje wake na uandishi wake ni tofauti.

FaizaFoxy
 
Asante aisee,hapa nimegundua kuna watu wanakejeli kumbe hata Nge huwa wanamuona tu kwenye picha au Tv,wanahisi sisi tunaongea upumbavu,jamani Nge akikugonga panauma sana,the pains is real,labda sijui kama kuna aina tofauti ya Nge na tofauti ya sumu,ila aliyenigonga mimi ni balaa,maumivu yake ni makali mno,tangu jana lakini hadi saiv bado nasikia pakiuma hata kama nina nafuu lkn bado pana maumivu ingawa ya leo ni ya kawaida..
Mkuu binafsi nakuelewa mno humu kuna wabishi madundu achana nao
 
Wanatofautiana

Mkoa wa Tabora hawa wadudu wanapatikana kwa wingi sasa basi ilikuwa ni kawaida kukumbana nao lakini kuna mmoja aliwahi kugongwa na huyo mdudu akajua ni kawaida tu ......mimba ilitoka
Nimesikitishwa sana na uzi huu..
Nimewai kung'atwa na Nnge zaidi ya mara saba.Kifupi kuna vijimaumivu vya kawaida tu.Mwanaume yeyote unaweza vumilia.Sasa sion tija wa kufungulia uzi Labda kama uligongwa na nyoka no sawa...
WANAUME TUJIKAZE

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama nilikuwa mbali na huduma za hospital je?
mbona unahukumu bila kujua mazingira yangu?
be fair,pia sio kila kila kitu lazima mtu uchangie...

Huo muda uliokua unasubiria watu kama mimi tukujibu sii ni ushafika hospitali na kupata matibabu...

Hata hivyo hana madhara huyo, ingekua nyoka hata muda wa kushika simu usingekua nao...


Cc: mahondaw
 
Mkuu mimi ni mwanaume rijali/shababi ila haibadilishi kuwa maumivu ni makali,ila leo nasikia maumivu kwa mbaali..jana ilikuwa ni siku mbaya sana kwangu,asante kwa wote mlionicheka na mliotoa ushauri...kifupi naendelea vizuri,and am final back to normal...
Umetumia njia ipi kati ya zote zilizotajwa humu.....
 
Dah...miye alinichoma pajani....nikamtafuta hadi nikampata...nikapiga mkasi mwiba wake...nikamtunza...nikawa napasha moto pini namchoma...mara 3 kwa siku..kwa siku 7....nikamuachia...sijaona ng'e Tena hapa geto..nadhani alifikisha ujumbe

Sent using Beretta ARX 160
 
Pole sana kamanda. Jenga tabia ya kupulizia dawa za kuua wadudu ndani, hasa sehemu zenye nyufa ama zilizojibana
Asante dahh haya maumivu ni extra-ordinary,hivi hawa wanawake wetu laini laini akigongwa kwa haya maumivu ninayoyahisi na ugangwe wangu,hawa viumbe si ndio watazimia kabisa na kwenda hospital kulazwa?tukumbushane kukung`uta viatu wazee,maana mimi nimekutana nae kwenye kiatu..
 
Kwa haya maumivu kiukweli siwezi kupachanja tena,panauma sana..mimi naulizia kama kuna pain killer inaweza kunisaidia,kuchanja hapana,sehemu inayouma hata kuishika siwezi,nge ni hatari wakuu kwa haya maumivu hata yule wa kisarawe akiamua kunitunuku bure kabisa muda huu,siwezi kumfanya chochote,tabaki namtazama tu!
Huyu mgonjwa ni bangi sana

"utamu wa uji ni kutingisha bakuli"
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom