Wewe !!! wakati watu wengine kutoka mkoa wa Mara ambao sio Wakurya wakijitambulisha kama Wakurya na kujiita "Poti" ili waheshimiwe na wasionewe ovyo. wewe ndo unajificha na kubadili kabisa mpaka na mkoa !! Haya, ole wako endelea kujificha halafu uone namna utakavyodharauliwa na kuporwa haki yako. Nakwambia mtu yeyote hata awe Polisi akishajua kuwa wewe ni wa asili ya Mara hata kama sio Mkurya, huwa anajongea kwako heshima ikiwa mbele. Mimi kuna siku nilikuwa na-drive, Mrs wangu hajafunga mkanda kwa kuwa alikuwa preg., Polisi akanisimamisha, akazunguka zunguka gari, mimi sikufungua kio, gari iko tinted, Polisi alipokuja dirishani akagonga gonga kio kwa kidole, nikafungua akaniuliza mbona abiria wako hajafunga mkanda ? Nikamuuliza tofauti na hilo, umeona kosa gani lingine ? akasema sijaona lingine, nikamwuliza, sasa umenisimamisha kwa kosa gani maana hilo mpaka nilipofungua kio ndo umeliona hata hivyo, kama unavyomwona huyu hawezi kufunga mkanda, lakini nilijua ni kosa na nilikuwa tayari kwa adhabu yake, akaniomba leseni, akaitazama na kusema kumbe ndo wale wale, nenda bwana akanirudishia leseni. Nikajiuliza, ameona nini ? maana cheo changu hakipo kwenye leseni labda kama ningempa ID, hata hivyo, sipendi kutumia cheo kupinga sheria kuchukua mkondo wake, lakini pia sipendi mimi binafsi au mtu mwingine kuonewa bila kosa, nikajua labda kaona jina ambalo halitaki uonevu ingawa mimi ni wale wa mjini waoga hata wa kuchinja njiwa !!Amani ya bwana itawale kwenu wapendwa,
tujikumbushe kidogo enzi za mwalimu JK Nyerere,Mwalimu alikuwa mstari wa mbele kupinga ukabira pia kumuita mtu kwa kabira lake kama ndo jina lake,mfano we "msukuma njoo hapa" wakati mtu anajua jina lako kamili,
leo hii nikiwa matembezini kwa mbari rafiki yangu ariniita kwa kabila langu mbele za watu,"we mkurya njoo hapa",kwa kweli jambo hiri rinikera sana ukizingatia niko mikoa ya watu ambapo mtu akisikia neno mkurya picha inayomjia kichwani mwake ni mapanga na mishare,pia mimi nilishajitamburisha kwa watu kama msukuma,na watu wote wanajua mimi msukuma ,kwa kweri sikupenda na hivyo nirimkanya jamaa asirudie jambo hiri,kwani rilipelekea kuzua tafrani na watu wote kuanza kuniangaria mimi,
je wapendwa wangu nirikuwa sahihi au nimawazo yangu tu ndo yamepelekea kujinyanyapaa?
Tabhatebhi mura abhalyisya bhano bhange ghutusumbula!Kuitwa mkurya ni heshima kubwa mimi kila nikienda sehemu huwa najitambulisha mimi ni mkurya toka Tarimeeeeeeeeee.
Ochie nade omela!Mimi ni mjaluoooooooo,tena wa roryaaaaaaaaaaaa mji wa shirati
Tatighana na akalisya kayo ghataghacha kaghotwi mutwe kwansa ghatana isaigha nsibhitali ghasarwe.Naomba kujua ww mleta uzi huu, ni mkurya wa sehem gan, na ni tabaka gan na ni mlango gan, na kama umetahiriwa kwel wewe rika(saiga) lako ni jina gani? ukijibu utakuwa mkurya kwel ila hiyo tabia yakukimbia jina ukurya utakuwa umeambukizwa tu
Ochie nade omela!
Tabhatebhi = tabhatebhyaTabhatebhi mura abhalyisya bhano bhange ghutusumbula!
Hahahaa utanyabhela mbaneTabhatebhi = tabhatebhya
Abhalyisya = Abharisya
ghutusumbula =ghotosombora
Poti kana nkeobhaye orandeka amang'ana ghano ghatare uratomera L
Unaakili sanaKuitwa mkurya ni heshima kubwa mimi kila nikienda sehemu huwa najitambulisha mimi ni mkurya toka Tarimeeeeeeeeee.
Acha majungu kijana.Kwa unadishi huo hata mimi ningekuita mkurya.
Kabira
Rinikera
Mishare
Nirimkanya
Hiri
Rilipelekea
Kuniangaria.
Nahisi ubongo wako unashidaAmani ya bwana itawale kwenu wapendwa,