asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Asante dada'kwa kweli hili linanitesa sana na limeniathiri sana'natamani anirudie na sitakaa nimuudhi tena
unatuchanganya mkuu ,ulimuudhi wewe au alikuudhi wewe?.... kuwa specific!
Asante dada'kwa kweli hili linanitesa sana na limeniathiri sana'natamani anirudie na sitakaa nimuudhi tena
Pia hajaeleza sababu ya ugomvi ni nini. Pengine huyu bwana alifanya kosa ambalo ni gumu kusameheka. Funguka mkuu ili upate msaada. Jiulize je unayo haki ktk hili.unatuchanganya mkuu ,ulimuudhi wewe au alikuudhi wewe?.... kuwa specific!
ndugu zangu sikujua mapenzi ni mchezo hatari kiasi hiki'nimegombana na mke wangu ni mwezi wa pili sasa''tulipogombana alirudi akitaka tuongee lakini bado nilikuwa na hasira naye na nilikataa kuongea naye'hasira zangu zilipoisha niliamua turudiane lakni amekataa na amesema hanitaki tena'kwa kweli nimechanganyikiwa sijui nifanye nini ili turudiane'mimi ni mkristo sijawahi kwenda kwa waganga lakini nasikia kuna dawa unaweza kumrudisha mpenzi aliyepotea?je nitakuwa natenda dhambi nikitumia nguvu za uganga kumrudisha?naomba msaada
Mkuu hivi bado upo katika ile dunia ya kusumbuliwa na mwanamke?... huo ulimwengu ulishapita...

Pia hajaeleza sababu ya ugomvi ni nini. Pengine huyu bwana alifanya kosa ambalo ni gumu kusameheka. Funguka mkuu ili upate msaada. Jiulize je unayo haki ktk hili.
Wanawake tuko wengi.
Njoo kwangu, mie sina hasira na mwingi wa huruma.
wanaume bana hivi mkoje?
ndugu zangu sikujua mapenzi ni mchezo hatari kiasi hiki'nimegombana na mke wangu ni mwezi wa pili sasa''tulipogombana alirudi akitaka tuongee lakini bado nilikuwa na hasira naye na nilikataa kuongea naye'hasira zangu zilipoisha niliamua turudiane lakni amekataa na amesema hanitaki tena'kwa kweli nimechanganyikiwa sijui nifanye nini ili turudiane'mimi ni mkristo sijawahi kwenda kwa waganga lakini nasikia kuna dawa unaweza kumrudisha mpenzi aliyepotea?je nitakuwa natenda dhambi nikitumia nguvu za uganga kumrudisha?naomba msaada
Atarudi tuu kwa budget hii ya juzi lazima arudi mwenyewe