Nimegombana na mke wangu akaniambia nina sura kama Zamadam. Je, anamaanisha nini?

Mkuu ukita kuenjoy kuishi na mwanamke mpuuzie tu wala usingombana naye akileta vita (maneno maneno) wala usimjibu kaa kimya mwache utajiona mjinga ukiendelea kumjibu lazima utampiha wewe kunja zako uso tu kuwa serious endelea na mambo mengi wala usimjali mwanamke kwa mdomo na maneno ndio kazi yao hiyo ukimjibu na kumsikiliza anachosema (mkijibozano sana lazima mpigane tu ) wanawake ni kuwaacha tu ukichokabisa akiona haeleweki mwache tu hama kaanze maisha yako ukikomaa naye sana unaweza kumua tu

Mwanamke maneno hayaishi hayaishi na ndio silaha yao hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…