Hii ni kali pole ZAMADAM nikipindi kinarushwagwa TBC so sijui zamadam ni mwanadamu wa kwanza au ila nimefurahi sana.Jana usiku NIMEGOMBANA NA MKE WANGU AKANIAMBIA NINA sura Kama ZAMADAM je huyo ZAMADAM ninani ? Amenitukana Sana au nidharau nichukulie poa?
Ukiambiwa unasura kama mistari ya kontua nayo utakuja kuuliza huku
Jana usiku NIMEGOMBANA NA MKE WANGU AKANIAMBIA NINA sura Kama ZAMADAM je huyo ZAMADAM ninani ? Amenitukana Sana au nidharau nichukulie poa?