Nimegombana na mke wangu akaniambia nina sura kama Zamadam. Je, anamaanisha nini?

moja ya njia ya kuweza kushinda katika utani ni kumfanya mpinzani afikilie tusi linamaana gani, maana yeye atakuwa ameshasahau wakati wewe bado unaendelea na uchunguzi na kutaka kulifafanua na kutafuta kwasababu gani wakati mwenzio ameropoka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingesaidia sana kama ungetuwekea picha tuone kama unafanana na apes tujue si tusi ni kweli, lakini pia kama hufanani nao sio tusi pia ni utani, kwa kifupi “SI TUSI”

Kama ndio hawa basi kanitukana I never knew this so I look like zinjanthropus africanus ok we weren't joking it was a serious chaotic situation.
 
Jana usiku NIMEGOMBANA NA MKE WANGU AKANIAMBIA NINA sura Kama ZAMADAM je huyo ZAMADAM ninani ? Amenitukana Sana au nidharau nichukulie poa?
1578927898934.png
 
Ukweli mtupu!
Mkuu ukita kuenjoy kuishi na mwanamke mpuuzie tu wala usingombana naye akileta vita (maneno maneno) wala usimjibu kaa kimya mwache utajiona mjinga ukiendelea kumjibu lazima utampiha wewe kunja zako uso tu kuwa serious endelea na mambo mengi wala usimjali mwanamke kwa mdomo na maneno ndio kazi yao hiyo ukimjibu na kumsikiliza anachosema (mkijibozano sana lazima mpigane tu ) wanawake ni kuwaacha tu ukichokabisa akiona haeleweki mwache tu hama kaanze maisha yako ukikomaa naye sana unaweza kumua tu

Mwanamke maneno hayaishi hayaishi na ndio silaha yao hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana usiku NIMEGOMBANA NA MKE WANGU AKANIAMBIA NINA sura Kama ZAMADAM je huyo ZAMADAM ninani ? Amenitukana Sana au nidharau nichukulie poa?

Ana maana huna huruma wala ubinadamu. Hivyo sura yake imefanana na ..........
1578928794952.png


1578928752036.png
 

Attachments

  • 1578928415678.png
    1578928415678.png
    15.2 KB · Views: 1
  • 1578928739264.png
    1578928739264.png
    23.4 KB · Views: 1
Mimi kuna kipindi niliambiwa nina sura kama yule aliyekuwaga Mbunge wa kule Mara mara, nikasema ewaaa
 
Ahahaaahaaa...nimecheka sanaaa aisee
Ila ndo sura ya kiume hyoo sura ya kazii..
 
Kwa kifupi sura yako haimvutii mumeo.

Jaribu kwenda salon ukaifanyie ukatabati
 
Aiseee mke wako anakupenda hadi raha, nakuonea wivu mzee mwenzangu...ningekua mimi ningemjibu kuwa ''...na wewe ndio maana una sura kama mtoto hadi leo hubadiliki tu....''😍 (sio kila kitu kwenye maisha haya ni kucomplicate tu)
 
Hapo alimaanisha kwamba wanaume wenzio wanakukula.
Maana zamaradi si mama jujuh.
Zamadam bana Melanny sio zamaradi,....
Zamaadam ni kipindi kinachorushwa TBC kuelezea mambo ya kale na mtangazaji wake ni Festus makerubi hivyo mke hapo alimtania kwa kumfananisha na watu wa kale!
 
Back
Top Bottom