Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
Au sio?Mchekeshe sana
Halafu jifanye unaumwa upo kitandani..
Pendekeza lolote kakaPole sana Erick omond
Endelea kumchekecha tuu kaka , maisha mafupi sana haya..Pendekeza lolote kaka
Mchekeshe sana
Halafu jifanye unaumwa upo kitandani..
Sure kaka yani mimi ndio wa kumfurahisha ila mambo mengine anapewa mwingineBana hivyo hivyo, huwezi kumfurahisha ili akaliwe na mwingine
HakikaTafuta pesa
Hapana kaka vijiwe kama hivi vinasaidia kuamua baadhi ya mambo ndio maana rais ana washauriMkuu uamuzi wa kumkaushia bado haujaamua acha akugeuze erick omondi tu
Ungeamua mwenyewe ungefanya maamuzi yako bila kuja kuomba ushauri jf
Kyumma bora na kali zimejaa achana naye japo najua atajiletaSure kaka yani mimi ndio wa kumfurahisha ila mambo mengine anapewa mwingine
Hakika kaka nimegundua hili natumika kwa maslahi yake nowdaysKakugeuza kituko wake..unamboost mood yake awe happy. Akishakua happy anaenda kufurahia na awapendao.
Wake Up mate