Nimegeuka Zombie

HA ha ha, sio lazima mgegedo, ila nataka ajue nishakubali tu
Aanze kuni-treat kama wake khah, sio kama bado tunatongozana


Kwa kweli ndio najifuza hapa

Tatizo nyie wanawake mkitongozwa kwa njia ya kizamani kuonyesha kukubali mnakuwa wagumu mpaka mliwe mate ndio muunganiko uanze
 
Marking a teritory is very important:help::smile-big:

Tatizo nyie wanawake mkitongozwa kwa njia ya kizamani kuonyesha kukubali mnakuwa wagumu mpaka mliwe mate ndio muunganiko uanze
 
Kongoshoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo finally one thing u kan't talk down on!!!!!!!!!!!!!!!!!!🙂🙂:smile-big::smile-big:
 
Last edited by a moderator:
Mmh, mie mwenyewe najiona mjinga, ngumu sana ujue, ego inahusu pia.

Nafikiri Kongosho kaamua kutufurahisha tu, siamini kwa weledi alionao kashindwa kabisa kabisa na tatizo hilo dogo ....... Abadan asilani, siamini!!!
 
Nafikiri Kongosho kaamua kutufurahisha tu, siamini kwa weledi alionao kashindwa kabisa kabisa na tatizo hilo dogo ....... Abadan asilani, siamini!!!

hakyamama Kongosho hana ujanja kwa zombie
yani ukitaka kuamini mi nakwambia hata ukimpogia simu sasa hv ukataja jiona la zombie walahi anaweza kuirusha simu pembeni!
yani haya maakili na wehu huu si ni kwa sababu zombie hahusiki!
wen it comes to zombie konnie ni banana kabisaaaaaaaaaaaaaaaa
nyang'anyang'a vuruluvurulu!
ehehehheh leo naweza kubet na mtu!leo akiwa anapanga kuja kuandika hii sredi walahi alichagua mashati ka manne hv af yote aliona hayampendezi!
ahahahhaha akaona mwe isiwe shida jamani!
 
Last edited by a moderator:
Wee rafiki mbaya sana, kisa cha kunianika hivi?
Ila yeye asubiri tu, mie nitaahirisha kukubali mwishowe

 

Sikuwahi kufahamu kama Kongosho ni dhaifu kiasi hiki. Ngoja nimuitie kubwa la maadui aka Get Rich or die trying lara 1 aje ampe maujanja!
 
Last edited by a moderator:
Wee rafiki mbaya sana, kisa cha kunianika hivi?
Ila yeye asubiri tu, mie nitaahirisha kukubali mwishowe

ahahahahhahahahahaaahahhaha hujui tu vile nasubiri kushona green na orange!
hujui tu!
yani mi na watu8 walahi tutaenda pariii kufanya shopping!

SIKIA SASA HAPA TUONGEE KIKE!
ushawahi kumpikia zombie?
ushawahi kumuuliza kama amekula mchana?
ushawahi kumkumbusha kwenda kanisani/msikitini?
ushawahi kutoka nae harusini akakufata home akukute we bado hujamaliza kuvaa,af impase kusubir sebuleni af utokee hv?
ushawahi kumnunulia saa?
ushawahi kwenda nae movie?
any vacation with him?
hata ya siku mbili tu!
ameshawahi kuumwa mamake ukaenda hospitali asubuhi na chupa ya uji?
AH THINK NA WEWE banaaa!
 
Last edited by a moderator:
Sikuwahi kufahamu kama Kongosho ni dhaifu kiasi hiki. Ngoja nimuitie kubwa la maadui aka Get Rich or die trying lara 1 aje ampe maujanja!

enh we acha tu!
mi mwenyewe mwanzo nilikuwaga nafanya utani!
lakini toka mwaka huu uanze walahi nimeamini zombie ndokiboko ya konnie!
we huoni siku hizi hakuna ile confusion ya kama Kongosho ni mwanaume au mwanamke?
ahahahhahahhahahha WAY TOO OBVIOUS!
pan' chezeiyer zombie bana!he is one of his own kind!
 
Last edited by a moderator:

Kumbe hii kitu mapendo haina mbabe kabisa. Hata uwe strong vipi, ukifall in love unageuka laini kama mlenda!!! Pole my dia Kongosho!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…