Mpeleke sehem tulivu candle design na maua kidogo na then vaa kiromantic bana nguo kama inataka kuanguka hivi aone vitu live na ile sex haswa udenda utamtoka tuu hata kama kasoma seminaryHe he he, itabidi leo nipate darasa, vinginevyo mwenzenu nakuwa zombie hivi hivi
Au nimshawishi tusafiri vakesheni?? :embarrassed1::embarrassed1:
He he he, itabidi leo nipate darasa, vinginevyo mwenzenu nakuwa zombie hivi hivi
Au nimshawishi tusafiri vakesheni?? :embarrassed1::embarrassed1:
Kuna jamaa yangu alikuwa hivyo demu alishakubali analeta stori za majigambo kijiweni kumvua pichu anashindwa mwishowe mjanja mmoja kagegeda jamaa alilia sana
Huu ni mwendelezo wa zombie.
Sasa mie nina aibu sana, siwezi kusema ndio nimekubali, sasa na zombie anasubiri BIG YES kitu ambacho hawezi kukisikia kutoka kwangu. Nasubiri aniangusage tu si ni sambi zake mwenyewe, mie nimeshakubali lakini haelewi.
Sasa nijianguse tu? Au zombie kanigeuza zombie?
Kuna mshakunaku snowhite atalibebea bangoooooo
Mpeleke sehem tulivu candle design na maua kidogo na then vaa kiromantic bana nguo kama inataka kuanguka hivi aone vitu live na ile sex haswa udenda utamtoka tuu hata kama kasoma seminary
nope just kwa mazungumzo na kujuana zaidi na zaidiHili nalo wazo, ila naona nitaonekana am trying too hard.
Sema kasafiri, ila akirudi atanitambua, daym its so hard!
nope just kwa mazungumzo na kujuana zaidi na zaidi
just a surprise atangulie sehem yeye na then wewe unafuata sio wewe utangulie maana itaonekana umeplan
Heheh...hebu lazimisha mtoko basi wa kinguvu nguvu...halafu tafuta vile vivazi vya kichokozi...
Yaani Invizibpo angeniruhusu tu ningekupa twisheni kwa njia ya picha hapa...
Hahah yaani umekuja kunipekenyua hadi huku...
Unacheka wakati mie naumia moyoni?!
Unacheka wakati mie naumia moyoni?!
Huu ni mwendelezo wa zombie.
Sasa mie nina aibu sana, siwezi kusema ndio nimekubali, sasa na zombie anasubiri BIG YES kitu ambacho hawezi kukisikia kutoka kwangu. Nasubiri aniangusage tu si ni sambi zake mwenyewe, mie nimeshakubali lakini haelewi.
Sasa nijianguse tu? Au zombie kanigeuza zombie?
Kuna mshakunaku snowhite atalibebea bangoooooo
HorsePower kuna wengine hawaoni wametegwa hadi wafikie ile niangusage tuu sambi sako mwenyeweMtege tu!
Afu nyi maneno yenu bana hata kama mtu hutaki kuibanjuwa ya 6,
unapata bonge la uralu!