Nimegeuka Zombie

Kumbe hadi sasa alikuwa hajakuangusha tu...!!!
 
ehehehhhehehhehehhehehehheh sa si ujibakishe tu na wewe!
mbake bana!
 
jiangusage halafu toes za miguu ziweke juu kama alama ya chama chetu ..................!:love:
 
Hapo bold ndio pana kazi

Yaani hata nikitabasamu romantekale haelewi, maana bhange mtindo mmoja

Ngoja nianze kuvaa vitenge labda ataelewa

hakyamama itabidi uache hiz bhangi zetu ili uwe kilady lady!
full kubana sauti na dinner za candle light!
tatizo zombie nae anajua sana unataka
anasubirije kuchukua pwenti zote tatu!
ahahahahahahhahhahaha LAZIMA UKAE!
 
Yaani miguu ishakufa ganzi kama KOKUTONA alivyosikia shemejie akilia

Sema kasafiri, ila akirudi atanitambua, daym its so hard!

Hehehe...tena nasikia wenye uso wa mbuzi ndio wasupuu sana!!! hebu mpe Zombie ile kitu roho inataka
 
Last edited by a moderator:
Vipi kale kapori umekaondoa isije ikawa zombie ametafuta way amekosa zaidi ya kukwanguliwa na majani yenye miiba
 
Saa angefikia hatua hiyo si ningemweleza? Yeye bado anaongea tu utadhani ananitongoza kumbe mie nimeshakubali siku nyiingi. Au nimtumie meseji kuwa 'nimekukubalia ombi lako?'

Ila nataka akigundua nimekubali iwe laive ili niweze kumsoma usoni kama nimevuna au nimevunwa.

Vipi kale kapori umekaondoa isije ikawa zombie ametafuta way amekosa zaidi ya kukwanguliwa na majani yenye miiba
 

Anataka mcheze komborela kwanza au kasoma shule za seminary maana huwa ni wapore sana na waoga
 
Kongosho batasamu kilady lady bana we unamvalia uso wa mbuzi hata haelewi somo na kama ni mseminary ndo kabisa
 
Last edited by a moderator:
Umejuaje? Wee mchawi nini?

Kuna jamaa yangu alikuwa hivyo demu alishakubali analeta stori za majigambo kijiweni kumvua pichu anashindwa mwishowe mjanja mmoja kagegeda jamaa alilia sana
 
He he he, itabidi leo nipate darasa, vinginevyo mwenzenu nakuwa zombie hivi hivi

Au nimshawishi tusafiri vakesheni?? :embarrassed1::embarrassed1:

Kongosho batasamu kilady lady bana we unamvalia uso wa mbuzi hata haelewi somo na kama ni mseminary ndo kabisa
 

:tongue:watu8 and snowhite like this.

Nilijuwa tu hata watunane hakosi, hii ya kisiasa?
Kongosho bwana! Aaaaaagh! So sweet!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…