nimefurahiiii....!

nimefurahiiii....!

Hahahahaaaaa looh hapana shosti siezi kuwa mama yako wa kambo, hubby wangu hajui hata kupiga na hivi kasolve tatizo la usafiri yaani hakuna suruali yoyote itayoniimbisha nikaitikia kiitikio hata unitunfikie drip ntaimba wimbo wa hubby tu.

Omba tu Mungu akulinde, unawajua wauza mchicha wewe?
 
Ha ha ha ha haaaaa Kumbe uliniona eh....!
Kama ulinifotoa usije ukaiweka picha yangu hapa maana utazua balaa kwa King'asti

Nilikuona kiukweli hasa nilipokumbuka ile picha yako uliyopiga ukiwa unaenda milimani kwa wakwe zako ukiwa umevaa pensi kofia na miwani hivyo ndo vilinifanya nitambue ni wewe, vinginevyo nisingekutambua.
Uwr na amani bro sijakufotoa siwezi weka picha hapa hata nikiwa nayo bila idhini yako.
 
Last edited by a moderator:

Actually tumechekeana kukabidhiwa new car na hubby is not a joke na wakati huohuo na yeye kavuta la kwake, am so happy to have my hubby on my life.
Mtambuzi alikuwa on roadside walk, hiyo napenda ila karate mmmhhh naogopa kurushiwa teke looh

Hongera sana, i can see your very happy!
 
Mkunde Original Hii "like" umeipata wapi mbona kakorea kangu hakakubali?

Hamia blackberry world kila kitu ni visible hadi vile invisible. Actually kuna muda inapotea ila now imekuja hata mie nilikuwa natafuta ila now nimeziona like, hope ilikuwa tatizo la kiufundi.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaa looh hapana shosti siezi kuwa mama yako wa kambo, hubby wangu hajui hata kupiga na hivi kasolve tatizo la usafiri yaani hakuna suruali yoyote itayoniimbisha nikaitikia kiitikio hata unitunfikie drip ntaimba wimbo wa hubby tu.

Naangalia huu muda, na huyo alokununulia gari sijui yuko wapi mida hii. Maisha magumu sana....
 
Asantii ntakaribia one day kwa sasa namzindua mwali si unajua kipya kinyemi, adumu hubby looh maana ilikuwa niote vigimbi, kutembea hadi mwenge si mchezo....
Zoezi ntakuwa nafanya home kwangu nawasha mziki nacheza non stop kwa nusu saa tosha kabisa kwa siku, au sio dokta?
Mkunde Original karibu nawe ushiriki bi mkubwa ingawaje miye huwa sifanyi na kina Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Naangalia huu muda, na huyo alokununulia gari sijui yuko wapi mida hii. Maisha magumu sana....

We babu acha kufanya maisha magumu, heheheeeeee mbona easy tuu hubby bado yuko na watu wa clearing wa magari wanaissue zao na kukamilisha ili mie j3 kama si kesho niingie nalo rodini ila nikipotea tu hapa ujue karudi.
Halafu ujue mie sina shosti mtaani wa kumsimulia au kuongea nae ndo maana nafarijika kuongea huku jf hasa kama hubby hayupo
 
Mi nilijua Mtambuzi ni kibosile wa kwenye magari tu, kumbe na mazoezi anafanya??

Hongera zake!
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wotee,
Jioni hii nimefurahii kutokana na furaha zangu mwenyewe ila nimefurahi zaidi baada ya kuwaona wana MMU wakiwa katika mazoezi jioni hii, yaani wanatembea kwa miguu in sport wear. Nimemtambua Mtambuzi wadada 2 aliokuwa nao sijawamaki ila big up.
Mie bado nakemea pepo la uvivu ntawajoin soon.
Love u all!!

hii habari hii!! mmh!

i see some points za kutafutiana u celebrity!

yani kwa kumuona tu mtu unamtambua ni fulani? how? ungesema umemtambuaje mama!
 
Asantii ntakaribia one day kwa sasa namzindua mwali si unajua kipya kinyemi, adumu hubby looh maana ilikuwa niote vigimbi, kutembea hadi mwenge si mchezo....
Zoezi ntakuwa nafanya home kwangu nawasha mziki nacheza non stop kwa nusu saa tosha kabisa kwa siku, au sio dokta?

Hongera kwa uzinduzi wa mwali wako mpendwa...

Okay, kumbe hubby wako kasharekebisha mpango wa ndinga sio...

Kama unataka mazoezi ya nyumbani hata kuruka kamba si mbaya...
 
Hongera kwa uzinduzi wa mwali wako mpendwa...

Okay, kumbe hubby wako kasharekebisha mpango wa ndinga sio...

Kama unataka mazoezi ya nyumbani hata kuruka kamba si mbaya...
Thanks much, yeha hubby kafanya mambo.
Napendelea kucheza mziki zaidi so I'll be dancing different songs non stop for 30 minutes everyday is enough.
 
hii habari hii!! mmh!

i see some points za kutafutiana u celebrity!

yani kwa kumuona tu mtu unamtambua ni fulani? how? ungesema umemtambuaje mama!

mtazamo wako ni tofauti na nilichomaanisha, kumuona mtu live na kama ulishamuona kwenye picha kabla na kama una utashi wa kutambua utamjua mtu tuu labda uwe zombie.

Kabla ya kumuona Mtambuzi live nilimuona picha yake aliyoirusha yeye mwenyewe kwenye thread yake kuwa anaelekea milimani, katika picha alizokuwa amepiga mojawapo alikuwa amevaa penzi ya khaki, raba na soksi, miwani na kofia (kapelo) na t-shirt. Appearance hiyo ndo niliyomuona jana memory yangu ika recall picha aliyorusha humu na hapo ndipo nilipomtambua na si kuwa namfanya awe celebrity au mawazo unayofikiria wewe. Umenipata?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom