Mkunde Original
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 807
- 647
We nawe, umekuwa kama Mzaramo...!Copy ...Mama Ngina
Si kweli naona unapotosha mada tu hapa, wala Mkunde Original hana maana hiyo.......
Nilichojifunza hapa ni kwamba wewe ni mvivu....
Si kweli naona unapotosha mada tu hapa, wala Mkunde Original hana maana hiyo.......
Si kweli naona unapotosha mada tu hapa, wala Mkunde Original hana maana hiyo.......
Ni kweliiii ila naukemea uvivu soon ntakuwa barabarani
Me naomba nijue kilichokufurahisha, Mkunde Original hebu funguka
Hubby kanisurprise na new car of my dreams na yeye kavuta lake am happy and I luv my hubby more and more, yale ya zamani yote nimeyasahau the way am happy.... thats it.
Mkunde Original nilipo ona thread hii nikajua unafurahi kwakuwa leo wote mmechekeana na mmeacha kununa,kumbe sivyoo!
hahhaha alaf kuhusu Mtambuzi pengine umemuona kwenye zoezi la kawaida tuu, sasa unge mkuta anafanya zoezi la karate ndio ungeshangaa zaidi.
Nshapata mama wa kambo hapa. Umdivorce yule mmeo kimeo asije akamvunja milonjo babangu bureee.