Nimefurahi mke wangu kutongozwa na msanii mkubwa kutoka Tanzania

wasaa9

JF-Expert Member
Jun 9, 2017
566
209
Wana JF,

Samahani kama mtaniona kolo, leo imekuwa na siku yangu ya furaha sana baada ya kuona mpenzi wangu ambae ndiye mke wangu mtarajiwa akitongozwa na msaani mkubwa na maarufu kutoka Tanzania.

Mke wangu yuko poa, ijapokuwa binafsi nilikuwa namchukulia fresh tu coz nimemzoea, kwa sasa naomba nifunge nae ndoa kama siyo pingu za maisha.

Nimempa onyo huyu msanii na kumwambia akiendelea na hii tabia ya kuja kupiga show na kutaka kutembea na wake za watu nitamuitia shilawadu mara moja kama siyo dira mnyonge kwa ujumla itamcost.
 
Harmo rapa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…