Nimefurahi mke wangu kutongozwa na msanii mkubwa kutoka Tanzania

wasaa9

JF-Expert Member
Jun 9, 2017
566
209
Wana JF,

Samahani kama mtaniona kolo, leo imekuwa na siku yangu ya furaha sana baada ya kuona mpenzi wangu ambae ndiye mke wangu mtarajiwa akitongozwa na msaani mkubwa na maarufu kutoka Tanzania.

Mke wangu yuko poa, ijapokuwa binafsi nilikuwa namchukulia fresh tu coz nimemzoea, kwa sasa naomba nifunge nae ndoa kama siyo pingu za maisha.

Nimempa onyo huyu msanii na kumwambia akiendelea na hii tabia ya kuja kupiga show na kutaka kutembea na wake za watu nitamuitia shilawadu mara moja kama siyo dira mnyonge kwa ujumla itamcost.
 
Wanajf ,.... samahani kama mtaniona kolo, leo imekuwa n cku yangu ya furaha san baada ya kuona mpenzi wangu ambae ndye mke wangu mtarajiwa akitongozwa na msaani mkubwa na maarufu kutoka tz....

..... Wife Yuko poa, ijapokuwa binafc nilikuwa nmchukulia fresh tu coz nmemzoea , kwa sasa naomba nifunge nae ndoa kama cyo pingu za maisha#...

..... Nmempa onyo huyu msanii na kumwambia akiendelea na hii tabia ya kuja kupiga shoow na kutaka kutembea na wake za watu ntamuitia shilawadu mara moja kama cyo dira mnyonge kwa ujumla itamcost.
Harmo rapa?
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom