Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 583
- 1,266
Huyo bint alivaa hijab sema hao askari wanadai nywele zilionekana, na ndiyo kisa cha kumkamata na kumpiga marungu hadi kifo. Ujinga mtupukisa tu ya kutovajaa hijab,
Too sad, Ahsante boss kwa urekebisho.Huyo bint alivaa hijab sema hao askari wanadai nywele zilionekana, na ndiyo kisa cha kumkamata na kumpiga marungu hadi kifo. Ujinga mtupu
Mkuu Israel ni jina zuri usiliharibu kuliandika hivyo kisa hawa wakina Netanyahu kwenye Qu'ran Israel ametajwa kama Nabii Yaquub('Alayhissalaam) ndio maana kizazi chake kikaitwa bani Israel (Wana wa Israel) ambaye Israel mwenyewe ni Yaquub ( 'Alayhissalaam) kama ilivyokuwa sisi Wana Adam wote kwa vile tumetokana na kizazi cha Nabii Adam ('Alayhissalaam) hivyo kuandika Israel kam ISRAHELL hapo ni kufafua jina ya Nabii wetu kipenzi cha Allah bora kukebehi kutumiaHao wanaotaka muoane me kwa me ndio hawaminyi haki za raia wao
US na ISRAHELL sio adui wa IRAN tu hao UMBWA ni maadui wa DUNIA nzima
Mwisho:-kitendo cha huyo mschana kuuliwa nichakishenzi sana na kinahuzunisha sana ila maandamano yatoshe sasa maana hayatamrejesha Marehem na wauaji washughulikiwe haswaaa
IRAN TAIFA TEULE
Sent using Jamii Forums mobile app
Uisilamu unaendeshwa kwa sheria zake, hakuna sheria inayosema MTU auliwe kwa kutovaa Hijabu, hao waliomuua walimuuua kwa utashi wao.America this, America that...
Mara utasikia;
Death to America, Death to Israel...
Kwa miongo na miongo utawala wa Iran una fanya kila kitu kuhakikisha wananchi wao waamini kuwa Marekani na Israel ndio adui wao wa maendeleo na ustawi, lakini kiuhalisia utawala wa Iran ndio adui wa kwanza wa wananchi wao.
Moral guardians wamempiga binti hadi kufariki kisa tu ya nywele zake kuonekana, sasa wananchi wamejitosa kuonesha kuwa sio haki, wakiwemo wamama na mabinti wakivua hijab zao.
Nchi za KiPersia na KiArab zinaminya haki za wanachi zao na itikadi zao ni za udini.
View attachment 2364492
Wasenge sana hao Askari Umtoe mtu Roho kisa nywele zimeonekanaToo sad, Ahsante boss kwa urekebisho.
Umejuaje Israel ndie Yaquub ? nimesoma Koran yote sijapata iyo connectionMkuu Israel ni jina zuri usiliharibu kuliandika hivyo kisa hawa wakina Netanyahu kwenye Qu'ran Israel ametajwa kama Nabii Yaquub('Alayhissalaam) ndio maana kizazi chake kikaitwa bani Israel (Wana wa Israel) ambaye Israel mwenyewe ni Yaquub ( 'Alayhissalaam) kama ilivyokuwa sisi Wana Adam wote kwa vile tumetokana na kizazi cha Nabii Adam ('Alayhissalaam) hivyo kuandika Israel kam ISRAHELL hapo ni kufafua jina ya Nabii wetu kipenzi cha Allah bora kukebehi kutumia
Hujaona aya niliyoiweka hapo ?Imran 3:93Umejuaje Israel ndie Yaquub ? nimesoma Koran yote sijapata iyo connection
Aya haijataja Israel ndie YaquubHujaona aya niliyoiweka hapo ?Imran 3:93
Chanzo vya elimu kwenye dini ya kiislamu ni Qu'ran pekee ? mbona vitu kibao havikutajwa majina ila ufafanuzi unakuja kwenye Sunnah au chapter nyingine ya Qu'ran hapo shida iko wapi ? Yaquub kisa chake cha kujizuia kula baadhi ya vyakula mbona maarufu mno na hapo ametajwa kwa jina la Israeli na wana wa Israel inamaanisha uzao wa Yaquub...Aya haijataja Israel ndie Yaquub
wewe uliedai Israel ndie Yaquub utuambie umetoa wapi ndani ya Koran na ilikuwaje jina likabadilika kutoka Yaquub kwenda Israel?
Leta ushahid wa jina kubadilika kutoka Yaquub kwenda IsraelChanzo vya elimu kwenye dini ya kiislamu ni Qu'ran pekee ? mbona vitu kibao havikutajwa majina ila ufafanuzi unakuja kwenye Sunnah au chapter nyingine ya Qu'ran hapo shida iko wapi ? Yaquub kisa chake cha kujizuia kula baadhi ya vyakula mbona maarufu mno na hapo ametajwa kwa jina la Israeli na wana wa Israel inamaanisha uzao wa Yaquub...
Ushahidi kupitia chanzo kipi ?Leta ushahid wa jina kubadilika kutoka Yaquub kwenda Israel
Cc wavaa kobaz mna maoni gani kuhusu hili la hijab?
kimsboy semaji la tehran zee la muqwama
Bwana Utam semaji la hezbolah
STRUGGLE MAN semaji la hamas
Morogoro kaskazini semaji la mujahedeen
Kama hakuna ushahidi kiri tu na usirudie tenaUshahidi kupitia chanzo kipi ?
Kwa ufupi unaweza kuta Nabii mmoja ana majina mengi tu mfano Yunus mmezwa na chewa jina lake lingine lililotajwa kwenye Qu'ran ni Dhun_nuun hata Mtume Muhammad (upon him be peace and blessing of Allah) anamajina mengi tu na ninayojajua mimi zaidi ya kumi na mengine yametajwa katika Qu'ran
Nimekuuliza swali kuwa waislamu chanzo cha elimu na habari za ufunuo ni Qu'ran pekee ?Kama hakuna ushahidi kiri tu na usirudie tena
swali ni hili
Umedai Israel ndie Yaquub utuambie umetoa wapi ndani ya Koran na ilikuwaje jina likabadilika kutoka Yaquub kwenda Israel?
Tumia chanzo chako kiweke hapa na ujibu madai yakoNimekuuliza swali kuwa waislamu chanzo cha elimu na habari za ufunuo ni Qu'ran pekee ?
Ukiwa mjinga kiasi hizi haustaili kujibiwa# nimemaliza