moto2012 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 2,309 Reaction score 1,552 Jan 29, 2013 #81 Ngalikihinja said: Mwambuie asisahau chikandi na mangatungu na ile pilipili kichaa iliyochanganywa na chumvi ya kusaga.. Click to expand... Hapo kwenye bold inaitwa Kawoli, Likungu na Mawungu tutaweka pia! Makululu hayatakosekana! We intent to be unique! Nipo meneja masoko wa hiyo kijiwe!
Ngalikihinja said: Mwambuie asisahau chikandi na mangatungu na ile pilipili kichaa iliyochanganywa na chumvi ya kusaga.. Click to expand... Hapo kwenye bold inaitwa Kawoli, Likungu na Mawungu tutaweka pia! Makululu hayatakosekana! We intent to be unique! Nipo meneja masoko wa hiyo kijiwe!
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,954 Reaction score 7,113 Jan 29, 2013 #82 nipo ndani nafanya windowshoping, afu sioni mchele wa magugu ujue
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Jan 29, 2013 Thread starter #83 Mwanyasi said: nipo ndani nafanya windowshoping, afu sioni mchele wa magugu ujue Click to expand... Sasa hivi tunatumia mchele wa Pemba..........
Mwanyasi said: nipo ndani nafanya windowshoping, afu sioni mchele wa magugu ujue Click to expand... Sasa hivi tunatumia mchele wa Pemba..........
kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,972 Reaction score 2,494 Jan 29, 2013 #84 wapi hapo? machalari yapo?
Mkirua JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 5,647 Reaction score 2,513 Jan 29, 2013 #85 Hii kitu ipo TZ kweli? i doubt....
Kipaji Halisi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 2,280 Reaction score 1,366 Jan 29, 2013 #86 Pweza wako..?@Preta..
Fixed Point JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 11,304 Reaction score 12,753 Feb 9, 2013 #87 moto2012 said: Dada @FP, snowhite, Kipipi, Ngalikihinja na mjomba Dark City naona wifi/shemeji yenu ameandaa mdojolela kwa kijiwe yetu, karibuni sana. Mtani watu8, platozoom, shemeji Arusha one, Erickb52, Boflo na rafiki yangu Wiyelele karibuni sana Wadau The Boss, MziziMkavu, AshaDii, mshenga King'asti karibuni muonje mapiko ya mtoto wa kichaga katika mahadhi ya vyakula vya kingoni! Mubwelayi mwawoha (Karibuni nyote) Click to expand... kakangu naona mdojolela wa manji na mwinyu, lol! usijali kaka, nitaleta na kikandi
moto2012 said: Dada @FP, snowhite, Kipipi, Ngalikihinja na mjomba Dark City naona wifi/shemeji yenu ameandaa mdojolela kwa kijiwe yetu, karibuni sana. Mtani watu8, platozoom, shemeji Arusha one, Erickb52, Boflo na rafiki yangu Wiyelele karibuni sana Wadau The Boss, MziziMkavu, AshaDii, mshenga King'asti karibuni muonje mapiko ya mtoto wa kichaga katika mahadhi ya vyakula vya kingoni! Mubwelayi mwawoha (Karibuni nyote) Click to expand... kakangu naona mdojolela wa manji na mwinyu, lol! usijali kaka, nitaleta na kikandi
Fixed Point JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 11,304 Reaction score 12,753 Feb 9, 2013 #88 Dark City said: Huyo ni mimi au kitukuu wangu?? Daaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhh...muulize mdogo wangu FP akusimulie zaidi.... Mwenzio namalizia pensheni yangu mie....lol!! Babu DC!! Click to expand... rafiki, naona kakangu moto2012 anataka kukuingiza king......... utatoka salama hapo kweli? mi nakucheki tu mtu mzima mwenzangu, lol! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Dark City said: Huyo ni mimi au kitukuu wangu?? Daaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhh...muulize mdogo wangu FP akusimulie zaidi.... Mwenzio namalizia pensheni yangu mie....lol!! Babu DC!! Click to expand... rafiki, naona kakangu moto2012 anataka kukuingiza king......... utatoka salama hapo kweli? mi nakucheki tu mtu mzima mwenzangu, lol!