Nimefungua kijiwe.....karibuni...

Utapenda ya samaki gani.....,? Nina nembe peke yake......
Hakyanani kama una supu ya samaki wa aina ya nembe basi mimi nitazuka hapo. Hao samaki ni watamu balaa, fanya na supu ya ningu kabisa ili tumalize mchezo!.
 
Mwambuie asisahau chikandi na mangatungu na ile pilipili kichaa iliyochanganywa na chumvi ya kusaga..
 


Chakula hicho unaweza ukapasua ata sahani nne usishibe! Napenda mahindi mabichi yale ambayo unachanganya na maharage!
 
Okkkk J'mosi nilikuwa hapo, baadae nikaenda kwenye barber shop next sijui ni yako pia?. Wadada wa pale acha kabisa, wakifanya scrub wachokozi kama nini! Waliniingiza vidole masikioni wakinisafisha vizuurii, baadaye wakachukuwa cotton bud then akailamba kwanza kisha akanichokononoa, nilihisi!! Weekend naenda tena
 
Mbona hakindani na hali halisi ya sisi wa Mtwara?
 
Mbona hakindani na hali halisi ya sisi wa Mtwara?
 
Chakula hicho unaweza ukapasua ata sahani nne usishibe! Napenda mahindi mabichi yale ambayo unachanganya na maharage!

Huo ndo Mdojolela rafiki! Mgunduzi ni mgoni wa Kilagano, there fore mdojolela is made in Ngoni land, Preta anaandaa under licence from Ngoni landi!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…