Nimefunga ndoa ya Kiserikali

Ndoa ya kiserikali ikoje kuna msharaha mwisho wa mwezi?

Naomba kujua undani wake.
Ni ndoa kama ndoa zingine, inatambuliwa kisheria.

Mnafunga katika ofisi ya Mkuu wa wilaya na kukabidhiwa vyeti vya ndoa. Hakuna mbwe mbwe wala gharama. Ni nzuri sana. Mkizinguana, kila mtu anashika chake. Mali mlizotafuta ndani ya ndoa ndiyo mnagawana pasu kwa pasu.

Utakazomkuta nazo mwenzako zinabaki zake na wewe vivyo hivyo.
 
Ohoo hii ndiyo ndoa nzuri kuliko zote duniani, vipi wanavaa pete au ni pekupeku.

Asante sana mkuu.
 
Habari wakuu,
Nimeona leo nifunge naye ndoa baada ya kuishi nae tangu 9/2013.

GOD BLESS US
Hapo umetafuta talaka ya haraka. Uzoefu unaonesha kuwa ukiishi I na mwanamke bila ndoa na baadaye ukaamua kufunga naye ndoa, mara nyingi ndoa hiyo kumaliza miezi mitatu ni kudra za mwenyezi
 
Hapo umetafuta talaka ya haraka. Uzoefu unaonesha kuwa ukiishi I na mwanamke bila ndoa na baadaye ukaamua kufunga naye ndoa, mara nyingi ndoa hiyo kumaliza miezi mitatu ni kudra za mwenyezi
Sasa bora nini ndoa au kukaa bila ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…