Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,315
Wakuu
Kwa furaha niliyokuwa nayo leo hii nimelazimika kuvunja kibubu nasubiria mwamba wa kaskazini apewe kadi ya chama kubwa.
Chama la chaguo la Mungu wampe kadi alafu jioni nitafanya party nyumbani nikiwa na family yangu.
Tutaenda kuona Tanzania mpya!