Nimefumania alfajiri na mapema

Mimi hata kurudi au namba zake za simu nafuta! Ni changamoto kwako pia, this is your life, tulia na fanya inshu zako za maana! utampata anayekupenda na kukuheshimu. Huyo hakuwa wako mkuu wala hauna haja ya kujiumiza, wewe siyo wa kwanza umefanya kuongeza idadi ya walioumizwa kwenye mahusiano.
 
Vidume kama nyie ndo mnatakiwa sasa..na cyo kina ooh nkamchunia cjapokea cmu,.. Uku roho znadundia kwenye boxa..bigap bro

Kidume? kidume analiwa demu wake? dawa ya mwanamke ni rijali wa ukweli, ukiwa rijali wa maana mwanamke haipeleki kwingine, hata alale na njaa.
 
Kidume? kidume analiwa demu wake? dawa ya mwanamke ni rijali wa ukweli, ukiwa rijali wa maana mwanamke haipeleki kwingine, hata alale na njaa.

unahitaji darasa. Unadhani kuwa kwenye mahusiano ni kuchimbuana tu? We kweli kenge, kazi yako kuvizia mayai. Sikujibu tena, ila nitasoma upuuzi wako
 
ningependa nijue kilichofata baada ya msela kuondoka, inamana hukumuuliza chochote?

sikutaka kujua chochote kwani jioni kabla ya tukio tuliyozungumza na nilichoona havifanani. Hata kama nilichangia, bora aende na si kufanya vile
 
Kidume? kidume analiwa demu wake? dawa ya mwanamke ni rijali wa ukweli, ukiwa rijali wa maana mwanamke haipeleki kwingine, hata alale na njaa.

we hayajakukuta af pia mwenzako ameeleza yalomkuta,inkifup nakushangaa sana unavomshtum kuwa c rijal,na nauhakika ungekuwa wew ungerusha ngumi,bt ametumia utimamu wake na ustarab ktk kutatua tatizo,urijal c kukamua tui tu kitandan bro,..
 
Dah! Women noma. Naanza kujisikia vibaya, nikijua kabisa kuwa nilikuwa nampenda na hakuna kitakachonifanya wala kunishawishi kurudiana nae

Consider that as a punch on your chin that has landed you on the floor. Just collect yourself, stand up and plan another move soberly. Don't you hurry up because you might take another upper cut and receive more pains. By the way this could be a blessing in disguise for you.
 
bado sijajua kama naumia moyo ama la. Sasa hiyo alfajiri napita naona kwa mbele taxi inapaki, chumba cha huyo mwanamke kiko wazi na taa inawaka saa 11 ile. Jamaa ndo alikuwa anamuaga akamuachia na vijisent. Binti akamtolea kubaz zake nje ndo akanikuta nimesimama. Anajua kujicontrol. Jamaa akatoka tukasalimiana akaenda kupanda taxi

viva-lady.jpg

mizambwa
inaniuma sana!!!
 
we hayajakukuta af pia mwenzako ameeleza yalomkuta,inkifup nakushangaa sana unavomshtum kuwa c rijal,na nauhakika ungekuwa wew ungerusha ngumi,bt ametumia utimamu wake na ustarab ktk kutatua tatizo,urijal c kukamua tui tu kitandan bro,..

Tatizo bado HAJAKUA, AKIKUA ATAYAJUA MAISHA.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Pole sana! Hiyo inaitwa kipya kinyemi..

Kisicho riziki hakiliki. Wewe ulimuokota wapi huyo demu asiye na aibu? Yale yale mnapenda vitu vya bure, inawezakana hukuwa unamuachia kitu kidogo ndiyo maana kaamua kuleta msaidizi wako.

Kula kona kwani nini bwana! wapi kibao wanakusubiri tena wenye hesha zao.
 
Consider that as a punch on your chin that has landed you on the floor. Just collect yourself, stand up and plan another move soberly. Don't you hurry up because you might take another upper cut and receive more pains. By the way this could be a blessing in disguise for you.

we utakuwa bondia bila shaka. BTW thx for that piece of advice. I don want KO
 
We mlinzi? na pili mademu kama una ela watazigawa kwa serengeti bys! na kama hauna ela basi ujue kuna wazee wanam2nza m2 wao! we demu iphone au bb na migodi yakutosha na anashine mbya bado unampgia hesabu!?
 
Pole sana. Huyo hafai si mwaminifu. Be care asije akakuletea magonjwa.Hakufai achape mwendo huyo kashazoea hiyo tabia mshukuru Mungu kakuonyesha.
 
Uzuri wa moyo unajua kupenda, tatizo la moyo unaogopa kutendwa, ulishampenda kwamoyo wote na leo kaenda,,

source: ney wamitego.

Let her go boy,
 
we hayajakukuta af pia mwenzako ameeleza yalomkuta,inkifup nakushangaa sana unavomshtum kuwa c rijal,na nauhakika ungekuwa wew ungerusha ngumi,bt ametumia utimamu wake na ustarab ktk kutatua tatizo,urijal c kukamua tui tu kitandan bro,..

Mwanamke anaepata akakolea yupo radhi kulala na njaa. Urijali sio kusimamisha tu, ni pamoja na kutunza na kutoa mahaba na kumkinaisha mwanamke na vitamanio vyote. Huyo wallet hata akichukuwa mwengine leo mambo yatakuwa hivyo hivyo tu.
 
lool ngoja aje ajibu mwenyewe..me ngoja nkachukue maujuz kwenye kaz za asali kulee
 
Bado sijajua kama naumia moyo ama la. Natokea msibani alfajiri kabisa ili nifike nyumbani nipumzike kidogo then nijiandae kwa kazini. Nikachukua boda ili niwahi. Mimi na yy tuko majirani tu na kahamia hapo kama siku 3 hivi. Jioni iliyopita tuliagana vizuri baada ya kusolv tofauti zetu. Sasa hiyo alfajiri napita naona kwa mbele taxi inapaki, chumba cha huyo mwanamke kiko wazi na taa inawaka saa 11 ile. Ndipo nikashuka toka boda2 nikajibanza sehem kushuhudia. Nikaamua kwenda hadi mlangoni. Jamaa ndo alikuwa anamuaga akamuachia na vijisent. Binti akamtolea kubaz zake nje ndo akanikuta nimesimama. Anajua kujicontrol. Jamaa akatoka tukasalimiana akaenda kupanda taxi... Nimemwaga on the spot. Wito wangu kwa wanaume, mwanamke akishaanza kuwa na viswahili vingi muogope.

Mjomba wake huyo!
 
Back
Top Bottom