Nimefiwa na BIBI

Nimefiwa na BIBI

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
11,660
Reaction score
11,659
Ndugu zangu nimeamua nilete Uzi tu nahisi nitapata faraja humu

Nimeondokewa na bibi yangu huyu kwangu alikuwa zaidi ya mama na baba

Alinipenda sana alinipa mahitaji muhimu katika utoto wangu

Alinipa ule upendo ambao hata kwa wazazi sikuwahi kuona

Sijalia siku nyingi but I spend a whole night crying

Pumzika kwa amani bibi yangu
Pumzika mahali pema bibi yangu
Mungu akakusemehe km kuna dhambi yeyote ulitenda
Mungu ajuondolee adhabu ya kaburi

Naamini siku moja utanikumbatia tena kama ulivyokuwa ukinikumbatia nikitoka shule

Ulale mahali pema peponi bibi yangu
Ameen
 
Yaani faraja unatafuta JF.. aiseee, unatania ww, hivi nyie watu akili ni zenu au za kukodi? Faraja ya kifo cha mtu muhimu ktk maisha yako unasema unatafuta huku JF? I wish i could slap you kibao kikali kabisa cha moto akili zikukae sawa
 
Yaani faraja unatafuta JF.. aiseee, unatania ww, hivi nyie watu akili zenu ni zenu au za kukodi? Faraja ya kifo cha mtu muhimu ktk maisha yako unasema unatafuta huku JF? I wish i could slap kibao kikali kabisa akili zikukae sawa

Hahaha mkuu acha hizo
 
Hayajakukuta wewe
 
Yaani faraja unatafuta JF.. aiseee, unatania ww, hivi nyie watu akili ni zenu au za kukodi? Faraja ya kifo cha mtu muhimu ktk maisha yako unasema unatafuta huku JF? I wish i could slap you kibao kikali kabisa cha moto akili zikukae sawa

Kama ametuona sisi ndio jirani zake na ndugu zake je?

Huku unaweza kupata faraja kuliko hata huko mitaani.

Sio mbaya Mungu akurehemu kwasababu Lumumba wengi hamna akili.
 
Pole Sana dear may her soul rest in peace
 
Yaani faraja unatafuta JF.. aiseee, unatania ww, hivi nyie watu akili ni zenu au za kukodi? Faraja ya kifo cha mtu muhimu ktk maisha yako unasema unatafuta huku JF? I wish i could slap you kibao kikali kabisa cha moto akili zikukae sawa
Hopeless
 
Lete namba tutoe na chochote naona uzi unaanza kua na wachangiaji wachache.
 
Back
Top Bottom