digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,525
- 23,518
Jitu jeusi [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kama imefika before tarehe 21, utakuwa tayari umeshawekewa kiasi hicho ila hikiwa tarehe 21 ndo umefikisha $100 then next month utalipwa.Habari wana JF leo tarehe 21kwa mara ya kwanza nimefanikiwa kufikisha 100$ na pia nimeshaweka western union kama primary payment method...je mwezi huu naweza kupewa hicho kiasi???
Niambie chiefJitu jeusi [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Link ya nini, wewe toa msaada kama post inavyoulizahebu weka lin kwanza nione hiyyo blog
sawa mme wako amesikia kasema hatoi. na vile una kiherehere boss.usitoe link
Ndiyo lakini nimeamua kua na account mpya.. Niliyokuwa nayo mwanzo nimeachana nayo mkuu..MBONA WEWE NI NEW MEMBERView attachment 681417
Basi itakua sababu ndo hiyo mkuu.. Maana mimi nimefikisha 100usd tarehe 21 mwezi huu.Kama imefika before tarehe 21, utakuwa tayari umeshawekewa kiasi hicho ila hikiwa tarehe 21 ndo umefikisha $100 then next month utalipwa.
Lakini unaweza kuangalia, login kwenye adsense a/c the click payment then ufanye follow up kwenye payment kama ulikuwa umefikisha before tarehe 21 utakuta payment receipt yenye taarifa zote za kupata pesa.
Sikushauri umpe link yako ya site yeye ya kazi gani link yako,maana siku hizi mablogger wengi wamekuwa na fitina unaweza ukampa link yako akaacha kazi akafanya kazi ya kuclick matangazo yakoHabari wana JF leo tarehe 21kwa mara ya kwanza nimefanikiwa kufikisha 100$ na pia nimeshaweka western union kama primary payment method...je mwezi huu naweza kupewa hicho kiasi???