Nimefikisha 100USD kwa mara ya kwanza adsense...

cbwoy 255

Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
9
Reaction score
1
Habari wana JF leo tarehe 21kwa mara ya kwanza nimefanikiwa kufikisha 100$ na pia nimeshaweka western union kama primary payment method...je mwezi huu naweza kupewa hicho kiasi???
 
n

tumie blog link yako niiione
 
Habari wana JF leo tarehe 21kwa mara ya kwanza nimefanikiwa kufikisha 100$ na pia nimeshaweka western union kama primary payment method...je mwezi huu naweza kupewa hicho kiasi???
hebu weka lin kwanza nione hiyyo blog
 
MBONA WEWE NI NEW MEMBER
vff.JPG
 
Habari wana JF leo tarehe 21kwa mara ya kwanza nimefanikiwa kufikisha 100$ na pia nimeshaweka western union kama primary payment method...je mwezi huu naweza kupewa hicho kiasi???
Nina adsence accont ila kwann nikiweka zile code za matangazo kwenye website yangu hazi onyeshi matangazo????
 
Habari wana JF leo tarehe 21kwa mara ya kwanza nimefanikiwa kufikisha 100$ na pia nimeshaweka western union kama primary payment method...je mwezi huu naweza kupewa hicho kiasi???
Hiyo 100$ wameshakuwekea kwenye balance au bado ipo kwenye estimated earnings???!
 
fata sheria zao vizuri. hebu link ya website yako niiicheck
 
kwa ushauri wangu hiyoo www.akilieducation theme yake iweke vizuri kama unataka kuvutia watu mimi nimeikagua nimeona mapungufu na mvuto kuwa hafifu
 
nime angalia inaonekana theme yako hairuhusu adsence kama ni wordpress tafuta plug in
 
ila ecowice.org iko poa au sio yakooooo
Ecowice ni yangu kabisa, mfano wa plugin inayo support adsense n ipi..... pia nataka kuweka kwenye mobile app ambayo bado ipo underconstructions
 
Back
Top Bottom