NIMEFIKIRIA MSAMIATI WA KISWAHILI LEO HII

NIMEFIKIRIA MSAMIATI WA KISWAHILI LEO HII

mynah

Member
Joined
Sep 8, 2018
Posts
59
Reaction score
89
Habari za Saa hii wakuu mimi ni mtanzania halisi kabisa.
Siku ya Jana kuamkia Leo mnamo saa nane usiku nimewaza sana kuhusu maisha yangu na muelekeo wangu wakati huo nikiendelea kufikiri maisha yangu
Nikajikuta nafikiria msamiati huu na nahakika kabisa ni wa kiswahili hata ukiutamka na kuusikia kiuhalisia kabisa ata tone zake kwa kutamka ni ishara kubwa sana ni wa kitanzania na wa kiswahili.
Wakuu Mimi nilikua naomba wataalamu wa kiswahili wajaribu kujipa ufafanuzi juu ya huu msamiati
Msamiati wenyewe ni huu hapa
KIPWAPWASI.
 
Back
Top Bottom