Nimefika

Nimefika

Pita ndani mlango uko wazi..........hawajambo uko utokako??
 
Ni jina limetokana na kumbukumbu ya kifo cha Mh. PM wiki iliyopita ama ndio 'creativity' yenyewe?
Anyway, karibu sana jamvini...sheria unaanikiwa uzifate.
 
Karibu sokoine,tena naona ulijiunga siku ya kuzaliwa kwangu
 
Ni jina limetokana na kumbukumbu ya kifo cha Mh. PM wiki iliyopita ama ndio 'creativity' yenyewe?
Anyway, karibu sana jamvini...sheria unaanikiwa uzifate.

Huu ni ukumbusho wa shujaa alietutoka...sheria zitatiliwa maanani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom