Nimefika salama Arusha

Princess21

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
272
266
Uwiii baridi kaliiii jamani, atakae kuna kunitoa ajiandae tu na Amarula, shishaaa kidogo nivute uwiii nipate joto. Ila asie na usafiri anisamehe asintafute maana sitaki kutembea kwa miguu
 
Uwiii baridi kaliiii jamani, atakae kuna kunitoa ajiandae tu na Amarula, shishaaa kidogo nivute uwiii nipate joto. Ila asie na usafiri anisamehe asintafute maana sitaki kutembea kwa miguu
Alafu ukishapewa hivyo vyote kinachofuatia nn?
 
Uwiii baridi kaliiii jamani, atakae kuna kunitoa ajiandae tu na Amarula, shishaaa kidogo nivute uwiii nipate joto. Ila asie na usafiri anisamehe asintafute maana sitaki kutembea kwa miguu
Nitakupigia baada ya nusu saa hivi.

Worry not, mtoto mzuri.

Watoto wazuri kama wewe hamtakiwi upata tabu kabisa, hasa kwenye mji wenye baridi kama huu mnatakiwa mpewe kajoto jotp fulani hivi ameizing.....
 
Halafu watu wakija PM unalalamika eti we siyo malaya kiivyo.

Wapenzi nimekuwa nikipitia mada tangu mwaka jana, nikajifunza mengi sana kuhusu JF Na mara nyingi nlikuwa sielewi nini maana yake.

Haya ni baadhi tu ya mambo niliyofanyia uchunguzi.

1. Ukiposti mada ya maana, yenye kugusa maisha ya mtu. Iwe ukweli au sio ukweli, utajibiwa matusi, utasemwa, utadhalilishwa. Huyo anaefanya hivyo (yaani kukutukana, hafikirii ni jinsi gani ulichopost kinakukera/kukumiza kwa kiasi gani. Hilo halimuhusu)

Kuna waungwana watakujibu vizuri sana na unaweza kupata suluhu ya tatizo lako

Kuna wenye mizaha watakufata PM wakuombe namba, wakujaribu upoje. Mule mule unaweza bahatika na kumpata mtu mmoja ambae atakuvusha kutoka eneo gumu ulilopo kwenda kivulini.

2. Ukipost mada ya ngono! Aisee utapata washabiki 10, 0000 matusi 4500 na wateja zaidi ya 11, 000.

Sasa nikajihoji, huku JF kuna makundi ya watu wote, wazima, watoto, wazee na vijana. Tumechanganywa full, unaeza kujikuta unaetukana nae ni baba ako mzazi, au mama mzazi, au ndugu yako wa karibu.

Sawa! Uhuru ni wako, ila nawashukuru Admn na kundi lake, wako makini sana, wakiona mtu anamkosea adabu mwenzie huwa wanazifuta msg kabla ya kumfikia mlengwa. Means wapo active kuona mtu hatukanwi bila sababu.

Ukiona hata nlichoandika ni UPUUZI usisome, na usinitukane, mimi Princess21 sina haja ya mwanaume, wala mchepuko.

Nimeolewa, nimesoma, nna kazi tena ni mwanasheria. Ninapo toa mada huwa naangalia response ya watu na si kweli kwamba ni malaya kiivo kama wengi wenu mlivoniita, na kunitukana.

Huu ni uwanja huru, tupo watu wa aina nyingi humu.

Ahsante. NITUKANE NA KWA HILI PIA MAANA UMEZOEA KUTUKANA

MCHANA MWEMA
 
Back
Top Bottom