Nimefedheheka sana siku ya jana

Nimefedheheka sana siku ya jana

Habari zenu wadau: niende kwenye mada.

Jana ilikuwa siku maalumu kwangu baada ya kuahidiwa papuchi kwa muda mrefu kidogo, lakini nasikitika kilichonitokea sijawahi kukiona, kifupi nilikuwa na binti mmoja hivi ambae nilimfukuzia kwa miaka kama miwili hivi,,,basi siku ya Jumatano tulipeana promise kwamba jana tukutane lodge fulani hapa mjini,,, mambo yalikuwa hivi,,,, baada ya kuingia room nilianza kumpapasa hapa na pale lakini dushe halisimami nikajiuliza tatizo nini, ofcourse demu ni mkali sana, nilishindwa kung'amua tatizo ni nini, baada ya kama nusu saa hali ilirejea kawaida, nilivyoingiza kichwa cha dushe tu nikahisi kama wazungu wanakuja, kwa hofu ya kuabika nikachomoa fasta, lakini wapi wazungu walifika bila hodi, nilipata wasiwasi sana, yule binti angenionaje ukizingatia gharama niliotumia ni kubwa mpaka kumpata, ongezea na ya kulipia lodge kiukweli nilijutia kuwa na yule demu maeneo yale, kwa sauti ya upole nilisikia demu akiniuliza baby mbona huingizi kwan umekuaje ? Nilishindwa nimjibuje nikaishia kujisonya sonya tu, niliamua kumwambia tu samahan baby naomba tutafanya siku nyingne leo naumwa.

Ushauri wenu wapendwa hili litakuwa tatizo gani au ni kawaida?
Bila shaka upo Dar mkuu! Hata usipodanganya nyuzi zako zinaonesha kabisa. Mwafwaaaaa
 
Ninyi wanawake mnatutesa sana, kwenye tendo la ndoa imekua changamoto kuliko vitu vyote, kila sehem mabango ya dawa ya nguvu za kiume utadhan hakuna magonjwa mengine, kwenye mitandao ndio usiseme kabisa.
Hamna buanaa,.😂😂😂ww ulikamia sana shoo chifuu,
 
Hamna buanaa,.[emoji23][emoji23][emoji23]ww ulikamia sana shoo chifuu,
Ndio nakubali nilienda race sana, lakini naiomba serikali iondoe hayo mabango kwa maana yanatufanya tulione tatizo ni kubwa kuliko uhalisia wake, kama unabisha nenda YouTube utaona, Mara wengine wanasema mjipake dawa za mswaki Mara mjipake mafuta ya taa, yaani ni kero tupu
 
Siku nyingine nenda na mzinga wa grants au regency mbona atakimbia na chupi mkononi huyo. Ila kwa ushauri muone katibu wa wanywaji mr mshana.
 
Hofu,wasiwasi,na kutokuamini kama kweli uko naye ndio chanzo cha tatizo;ungekesha naye, taratibu hisia zako zingemzoea na usingefedheheka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom