Nimefedheheka sana siku ya jana

functional

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
738
Reaction score
795
Habari zenu wadau: niende kwenye mada.

Jana ilikuwa siku maalumu kwangu baada ya kuahidiwa papuchi kwa muda mrefu kidogo, lakini nasikitika kilichonitokea sijawahi kukiona, kifupi nilikuwa na binti mmoja hivi ambae nilimfukuzia kwa miaka kama miwili hivi,,,basi siku ya Jumatano tulipeana promise kwamba jana tukutane lodge fulani hapa mjini,,, mambo yalikuwa hivi,,,, baada ya kuingia room nilianza kumpapasa hapa na pale lakini dushe halisimami nikajiuliza tatizo nini, ofcourse demu ni mkali sana, nilishindwa kung'amua tatizo ni nini, baada ya kama nusu saa hali ilirejea kawaida, nilivyoingiza kichwa cha dushe tu nikahisi kama wazungu wanakuja, kwa hofu ya kuabika nikachomoa fasta, lakini wapi wazungu walifika bila hodi, nilipata wasiwasi sana, yule binti angenionaje ukizingatia gharama niliotumia ni kubwa mpaka kumpata, ongezea na ya kulipia lodge kiukweli nilijutia kuwa na yule demu maeneo yale, kwa sauti ya upole nilisikia demu akiniuliza baby mbona huingizi kwan umekuaje ? Nilishindwa nimjibuje nikaishia kujisonya sonya tu, niliamua kumwambia tu samahan baby naomba tutafanya siku nyingne leo naumwa.

Ushauri wenu wapendwa hili litakuwa tatizo gani au ni kawaida?
 
Hapo harudi tenaaaa..Yani songombingo zooote hizo halafu umemuacha binti kaondoka na genye zake. Hesabu maumivu mkuu

Ulivyomaliza round ya kwanza bila kuingiza, ya pili iligoma? Malizia story
 
Oh hooo kwisha habari yako ! Uko wapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…