Nimefanya mapenzi na rafiki wa msichana wangu, roho inaniuma sana

Mkuu kwema wale shemeji zetu uliozaa nao wazma na huku ulitumia kinga au manake soon utaleta mrejesho kwamba anamimba
 
Za siku nyingi wanabody?

Bila kupoteza muda iko hivi, nina msichana wangu ambaye namzimia kinoma noma, tuna mipango mingi ya mbele mizuri na naapa tangu nijuane na yeye sijawahi kumsaliti hata siku moja ila anarafiki yake ambaye tunaheshimiana sana ila kwa bahati mbaya sana huyo rafiki yake nimemchapa.

Usitake kuniuliza ilikuwakuwaje hadi nikala mzigo, ila we elewa tu kwamba nimekula mzigo kwa shemeji yangu, kiukweli roho inaniuma sana tena sana hasa nikifikiria walivyoshibana.

Naumia zaidi nikiwa naongea au kuonana na mpenzi wangu kila nikiwaza nilichomtendea nafsi inanisuta sana, yaani hii hali inanitesa sana kisaikoloji, hii ni true story jamani.

Naomba ushauri wenu, je nifanyeje ili niwe na amani ya moyo?
miaka ya misri, nilifanya mapenzi na mchumba wa bosi wangu, bosi mnoko. tumeenda kisafari siku moja kule eneo bosi kapata kidada, miezi iliyofuata akawa ananituma mimi tu, kule msichana akawa anakuja kwangu kuulizia kama bosi wangu atakuja au hatakuja tena, kama ndo ameshapigwa kibuti....ajabu yake, mimi ndo nilifanya naye ngono tena zembe, alimanusura nimtie mimba tena kipindi kimoja ilikuwa siku za hatari, sijui bosi wangu angenifanyaje sijui.
 
Ilinitokea situation kama hiyo wakati nipo form two ...nilikuwa katika mahusiano baadae tukaachana lakini baadae nikaja kugundua Tena huyo mwanaume akawa anatoka na Dada yangu ....nilikuwa inanipa wakati mgumu nilipokuwa najilazimisha kumwita shemeji x boyfriend

OK hii ilitokea kama ajari kwangu sababu mm sikuwa najua kama ana mahusiano na sister wangu na wala sister wangu hakujua na hakuna anaejua na yule x hakuwa unajua kama ni sister wangu.kila wewe mkuu unaonesha hakuna moyo kabisa yahn.

Umemkosea mpnz wako na hiyo dhambi itakutesa zaidi ya ujuavyo unaweza kujikita unatamabi hata urafiki wako ufe kwa ajiri ya ujinga wako.Na rafiki anayetoka na mpnz wa rafiki yake si rafiki Bali ni shetani hafai kuwa rafiki.

Mwambie ukweli tu atakusamehe tu.

Form 2 tayari chupi kwny msumari?!
 
Amini nakwambia,naumia sana kila nikiwaza nilichofanya.nateseka sana
 
Back
Top Bottom