Nimefanya mapenzi na ndugu yangu, nifanyaje?

robin shango

Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6
Reaction score
1
Kuna ndugu yangu mmoja alikuja nyumbani kwetu kwa vile alikuwa na matatizo kidogo sasa yapata miaka miwili sasa tangu aje kwetu, tatizo ni kwamba nilishawahi kufanya nae mapenzi.

Baada ya hapo nikampotezea, lakini kwa siku kama tatu amekuwa akiwa na mazoea ambayo hakuwahi kuwa nayo juu yangu kila ninapokuwa nyumbani anatamani kuwa karibu na mimi lakini mimi najaribu kumkwepa.

Tatizo jingine kuna dada mwingine ni mropokaji sana, kwahiyo naogopa asije akamwambia mzee kuhusu hili kwa vile anajua kitu tulichofanya, sasa nimwambie aniache kunisumbua au nifanyaje
.

Naombeni ushauri
 
Mkuu unatafuna ndugu yako!!!! unawezaje??? anyway mwambie auchune maana atakutafutia matatizo kwa mzee.... anza tuition kama uko likizo ili kuwa busy na kuwa mbali nae:madgrin:
 
wewe umri gani?
jinsia gani?
undugu wa aina gani?

Maswali mazuri Sana haya Ila imenishangaza ndugu jamani unalala nae vipi bila woga? Binadam tunatofautiana tena home duh kaz kweli kweli
 
Mi nakushauri mpe mimba ya mapacha alafu mpangishie nyumba mnunulie gar ili mapenzi ya noge sawa? ila BABA yko nikijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…