kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
yaani kajipanga mpaka kapitiliza....!ha ha ha kamaliza mwenzio, basi wakati anaandaa storry yake alikuwa anatoa tabasamu la ajabu akijua anatoa habari kumbe ni muhutasaru tu,
yaani kajipanga mpaka kapitiliza....!ha ha ha kamaliza mwenzio, basi wakati anaandaa storry yake alikuwa anatoa tabasamu la ajabu akijua anatoa habari kumbe ni muhutasaru tu,
Mmmh!!! sijasema miye
yaani kajipanga mpaka kapitiliza....!
2009 form 4, ulipata ngapi kiswahili, unakumbuka kuna wakati wa sasa timilifu, wakati ujao, na wakati uliopita? sasa habari na kicha cha habari tofauti, ukumbuki hata kwenye kipengele cha utungaji pale namna ya kuandika? sawa turudi kwenye mada sasa, tupe radha yake ya huko? na je ullipata athari gani baada ya hapo? na je ako kamchezo bado unaendelea au umeeacha? maana ukianza kuzibua mavi bwana utataka kila saa.
Astaghifiruulah..
mi hata sijaelewa kitu
Sasa huyu ndo kaandika nini hapa,
ilikuwa mwaka 2009 nikiwa form four mtaani kwetu kulikuwa na jamaa mmoja mwenye tabia za kike kike. Alikuwa ana ukaribu sana na vijana wadogo wadogo wa form two hadi form four. Kumbe jamaa yule kutoka kaskazini alikuwa shoga na alikuwa anawashawishi vijana wale kufanya nae mapenzi. Vijana wengi wakampitia. Kijana mmoja rafiki yangu akaja kunipa story za jamaa yule na kuniambia kuwa jamaa anatoa hadi pesa ili umpe umfanye kinyume na maumbile. Nilivyo mdadisi sana kijana yule nikamshauri akatubu kwa padri.
Kijana: baba pdri naungama kwa sababu nilifanya mapenzi na mwanaume mwenzangu.
Sala ikasimama
Padri: eeeeh vipi ulifanya wewe au ulitendewa?
Kijana: mimi ndo niliye fanya.
Baada ya maungamo padri akamshauri yule kijana kuwa asiruidie tena.akasaidia kufanya uchunguzi hatimaye yule kijana shoga akawekwa mtu kati na kuamriwaa rudi kwao by then alikuwa na miaka 31.
Based on very true story.