Nimefanya maamuzi magumu naomba msaada hapa

utalala nao chumbani mwako
Kuna Jamaa Anafuga Kuku, Bata, Kanga, Na Jamii Hiyo Anao Wengi Sana
Yeye Anaishi Kwake Ila Anawalaza Ndani Maana Ni Wengi Sana Pia Wasiibiwe
Bata Bukini Mkubwa Laki, Wanapita Sitting Room Mpaka Kwenye Chumba Chao
Asubuhi Anawatoa Nje
 
Nipo kwa nyumba ya kupanga nimeagiza mbuzi wa kufuga, hapo napoishi kuna jamaa naona anafungia mbuzi kamba wanajilea tu, sina kwa kuwalaza usiku ila mchana haina shida.

Nawaza nikiwaleta nitawalaza wapi, naomba ushauri.
Hebu fafanua kwanza kabla hatujakutukana! Hiyo nyumba umepanga peke yako au kuna wapangaji wengine na mwenye nyumba anakaa hapo hapo?
 
Acha ujinga hizo alfu 20 unazotaka ukanunue kitoto cha mbuzi bora umnunue mbuzi uchinje ule mpaka ujambe
 
Back
Top Bottom