Nimefanya kweli

Mamndenyi

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
44,689
Reaction score
64,709
Haya ni maneno ya binti yangu Antonia Masoy
Kwenye Mahafali yake ya kuhitimu shahada yake jana.

Kila la kheri.



 
I wish nije fika hizo levels... Kwamba mwanangu
anapata mafanikio kama hayo na nashuhudia...

Hongera saaana kwa kulea na kukuza binti hadi hio
level - na hongera kwa mwanao kwa kuzingatia elim
maana mabinti wengi wameishia njiani.

Mwenyezi Mungu awazidishie baraka daima....
 

Asante sana mwanangu,
MUNGU atakubariki tu usijali.
 
hahaha...ni kama mwanangu pia bebii..
Naweza nikamwozesha kwa kijana wangu!! Si unajua tena wote ni wa kuleee
kumbe ni kwa ajili ya kijana wako
ni kweli switi home lazima idumishwe
 
mwaya huyu dada alishaolewa,
ana mume na watoto wake.
hivyo uwezekano wa kula mahari mbili ni ngumu zaidi.

 
mwaya huyu dada alishaolewa,
ana mume na watoto wake.
hivyo uwezekano wa kula mahari mbili ni ngumu zaidi.

mbona sikuelewi tena umemkataa tena kijana wa rejao? ila nadhani rejao anataka tu kujisavia mwenyewe hii habari itamuhuzunisha sana loh? mana hadi fb kamfata
 
mbona sikuelewi tena umemkataa tena kijana wa rejao? ila nadhani rejao anataka tu kujisavia mwenyewe hii habari itamuhuzunisha sana loh? mana hadi fb kamfata

si umeonaeee, na mimi nimeshashtuka mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…