Kigger
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 870
- 814
Habari wadau miaka nyumba nilileta uzi kuwasha online radio,ambapo nilifanikiwa kuwa n kituo cha online radio ambacho ni kukubwa zaidi dunia nasema ivo kwa sababu kila nchi kunakituo cha Tz Gospel Radio mfano Tzgospel kenya, Tzgospel vatican, Tzgospel china, Tzgospel Brazil nk. Na vyote vinarusha matangazo sana yani ni kama kuwa na frequency kila nchi lakini kwa online link kila nchi tuna vituo 216.
www.jamiiforums.com
Tuache aya,mwaka huu baada ya mapambano NIMEFANIKIWA KUWASHA TZ GOSPEL TV ipo azam other channel 27 ipo zuku na continental decoder kwa tanzania pamoja na milan cable channel 204 arusha.
Cha ajabu inangoza kutazamwa kwa sasa imekua tv ya 7 kutazamwa kwa azam imepanda kwa kasi mno hadi watu wa satellite wameshangaa.
Nimefanikiwa kufungua online radio
Habari wanaJF, naamini ni wazima Nimefanikiwa kufungua online radio ambayo ni tzgospel japo sina studio wala sijafanikiwa kusajili lakini kituo kimekuwa na wasikilizaji wengi wanaosikiliza lakini nashindwa kutangaza maana sijafanikiwa kupata vifaa kama laptop mic mixer ndogo nk Maana pesa...