MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,092
- 7,236
karibu rasmi kwenye ulimwengu wa kulala bila kyupi...
ndo ulimwengu gani huo? au ndo kupunga hewa free bila bughdha au adha yoyote.
karibu rasmi kwenye ulimwengu wa kulala bila kyupi...
Ndoa ina wiki tu umeshaanza ku-admaya watu wa watu.... We hebu muadmaye uliyemuoa bana, hawa wengine tuachie wenyewe...
ndo ulimwengu gani huo? au ndo kupunga hewa free bila bughdha au adha yoyote.
wewe unaoa lini?
karibu rasmi kwenye ulimwengu wa kulala bila kyupi...
bila kyupi? Hata kyaiti?
sasa hongera ya nini? kwani inahitaji ujasiri gani kuoa? kawaida tu mbona...hongera zina wenyewe bwana sio waoaji
namshukuru Mungu sana.
baada ya pilikapilika za hapa na pale hatimae nilifanikiwa kufunga pingu za maisha wiki iliyopita.namshukuru Mungu kwa hilo.
Hongera..nakutakia ndoa yenye baraka tele..namshukuru Mungu sana.
baada ya pilikapilika za hapa na pale hatimae nilifanikiwa kufunga pingu za maisha wiki iliyopita.namshukuru Mungu kwa hilo.
wanandoa shurti ulale maungo nje...kyupi kya nini?
Kwahiyo kila kitu manu manu bila hata chembe ya kikwazo?
Hongera kwako Mungu awalinde na vultures