Nimefanikiwa kuingia Gamboshi - True Story

Ukienda umpe salam nyingi saana Mzee wa kanisa Mtikila
Na yule mwanasiasa mkongwe Mzee Six[emoji1321]‍♂️
 
mkongwe mwenzangu aisee.. hahahahaha kile kipindi hataree.. nilishamsikiLiza hata mm
Jamaa mmoja kwenye miaka ya 2005 alikuwa anasimula Pale RFA kwenye kipindi cha sitosahau siku ya kwanza anapelekwa gamboshi anadai alikutana na treni ya Umeme, viwanja vya ndege vya kisasa,

Nikajisemea kimoyo kumbe tupo vizuri, kuna haja ya kuwashirikisha hawa jamaa wa gamboshi kuelekea Tanzania ya viwanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gamboshi is real.
Ndungu zangu wanajamvi, wiki iliyopita nilikuwa katika safari zangu za kila siku za tafiti. Moja ya tafiti ambazo nimejikita nazo ni tafiti za kitamaduni na mali kale.
Kwanza nianze kwa kusema hivi uchawi upo, kila nchi inautumia kwa namna yake.
Nilitembelea katika kijiji kimoja huko mkoani shinyanga nikakutana na mzee anayejulikana kwa jina la Madeleke. Lengo langu ni kutaka kujua na kujifunza namna ya jamii za kale walivyoishi.

Tuliongea mambo mengi na alinifundisha vitu kadha wa kadha ikiwamo namna ya kufanya uchawi. Nikamwambi mzee nasikia habari za kuhusu gamboshi hivi kweli suala lipo.
Mzee aliniambia suala hilo lipo na yeye ni mmoja wa members wa gamboshi. Akaniahidi atanipeleka.
Tulifanya maandalizi kwa muda wa siku 6 kisha tukafunga safari kuelekea mkoani Simiyu.
Kusema kweli safari yetu ilikuwa ya ajabu sana, maana tulisafiri usiku wa manane. Usafiri uliotumika ni wa wanyama mithili ya fisi ila wao wapo juu kidogo.
Mida ya kama saa 8 za usiku niliona taa zikiwaka mbele yetu. Ni taa za kila namna.
Ndugu yangu, tuliingia kwenye lango lililo chini ya mlima na kukutana na watu wa kila aina. Walikuwepo wazungu, warabu, wachina na sisi waafrika.
Mzee kaniambia hapa ndio gamboshi.
Kulikuwa na chakula, vinywaji. Watu walikuwa wakisherehekea.
Wanawake wazuri wazuri walikuwepo. Na kuna wengine wasanii na wanasiasa wakubwa niliwaona. Niliwaona wachungaji kadhaa wanaohubiri wakijumuika.

Kweli uchawi upo na Gamboshi ipo.
Ninatarajia kwenda huko tena mwezi wa tano. Mzee ameniahidi ataenda kunitambulisha na mimi niwe member.
Ninayo mengi sana niliyojifunza. Watu wa gamboshi ni wakarimu na wanaupendo.
Kama kuna mtu yupo tayari aweze kuni PM tupange safari twende pamoja.

Asanteni.
Mkuu una ndoto za Alinacha. Naona unajitahidi kusafiria nyota za kina Mshana na Mzizi mkavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko tayari twende nipm WhatsApp 0789139153

Waweza amini chochote kile bila kuvunja sheria, tatizo ni kulazimisha wengine waamini chako...
 
Back
Top Bottom