smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,975
- 3,118
Mkuu usiniache nataka sana, niko hapa salasala karibu na Kanisa la RC. kwa kusaga sehemu gani pale?Nauli ni kutoka ulipo kwenda kwa mzee madeleke mkoani shinyanga. Kutoka hapo kila kitu anafanya yeye. Mimi kwa sasa nipo Dar es salaam, nipo Mbezi Beach karibu na kwa Joseph Kusaga.
Tuwasiliane tu.