Nimeamini hakuna kinachoshindikana chini ya hili jua.
Nimefanikiwa kwa asilimia kubwa kubadili kabila langu; kila ninapotakiwa kujaza kwenye fomu yoyote mimi ni kabila gani; naandika kabila ninalotaka.

mimi kila nikitaka kubadili kabila ndugu wanalalamika,na nikisema kabila langu hawakubali maana wanasema sifanani na kabila lolote Tz
Kesho utakuja sema umefanikiwa kubadili wazazi kisa badala ya kuandika ktk fomu jina x la baba yako wewe waandika Y.Nimeamini hakuna kinachoshindikana chini ya hili jua.
Nimefanikiwa kwa asilimia kubwa kubadili kabila langu; kila ninapotakiwa kujaza kwenye fomu yoyote mimi ni kabila gani; naandika kabila ninalotaka.
Au Mama kakuonesha Baba mwingine Ndg yangu?